luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
- Thread starter
- #21
🤣🤣🤣 Mtego gani kakaKuna mmoja nilimwandalia mtego akaingia mazima, alichokutana nacho nadhani atawasimulia Hadi wajukuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 Mtego gani kakaKuna mmoja nilimwandalia mtego akaingia mazima, alichokutana nacho nadhani atawasimulia Hadi wajukuu.
Dawa yao una kwenda nao pole pole mpaka mwisho anajikuta ana kutana na kigingiUkiwashtukia huwa wanatukana ile mimatusi inayoanzia na K
Asante kwa kutumia tigopes
Hawa wajamaa washamba sana
Unaingiaje mkenge bila kuweka mitego rshisi ya utambuzi.Kuna mmoja alinipigia ananiambia mtoto wako kaanguka shule anatokwa dam puani Mimi ni dereva wa shule nimepewa jukum la kumleta hosptal.
Nimefika hosptali hapa wametaka 50000 waaanze huduma tuma fasta kwa no hiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kidogo niingie mkenge
Nilipata mshituko kwanza mkuu si unajua watoto tunavowapenda sema akili pia ikanijia fasta ndo nikafanya hayo uliyosema aakawa mkali ndo nikajua huyu tapeliUnaingiaje mkenge bila kuweka mitego rshisi ya utambuzi.
Mfano: simu hiyo ungemuuliza jina la mtoto na pia jina la shule pamoja na jina la hosipitali.
Wanashirikiana na wafanyakazi wa hayo makampuni. Ndiyo maana hayo makampuni hata ukiripoti hawatoi ushirikiano wowote na wala hawazifungii hizo namba. Ni wale wa namba 100 huduma kwa wateja.Ana bahati sana siku wa rekodi ila.mpaka sasa namba zao.zapatikana ukiwatwangia walivyo wajinha wana pokea.
Huwa najiulizaga hawa watu wa mawasiliano huwa wana handle vipi izi issue mbali na kuwa report
Ni wafanyakazi wa hiyo kampuni walidukua mawasiliano yako wakajua una mtoto shule. Ndo maana hakuna hatua zinachukuliwa hata ukiripoti.Kuna mmoja alinipigia ananiambia mtoto wako kaanguka shule anatokwa dam puani Mimi ni dereva wa shule nimepewa jukum la kumleta hosptal.
Nimefika hosptali hapa wametaka 50000 waaanze huduma tuma fasta kwa no hiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kidogo niingie mkenge