Nimepigiwa simu na matapeli leo

Asante kwa kutumia tigopes

Hawa wajamaa washamba sana

Hahaha, mkuu hilo kosa hata mitandao yenyewe huwa wanalifanya. Nakumbuka Vodacom walishawahi kunitakia Heri ya Sikukuu ya Mapinduzi wakati ilikuwa ni Sikukuu ya Muungano.
 
Unaingiaje mkenge bila kuweka mitego rshisi ya utambuzi.

Mfano: simu hiyo ungemuuliza jina la mtoto na pia jina la shule pamoja na jina la hosipitali.
 
Ni Yupi hapa!! Mi nina shida na Huyo Maria..
 

Attachments

  • Screenshot_20220719_165911.jpg
    48.9 KB · Views: 8
Hawa wapuuzi huwa wanamatusi Kama mzito kuongea watakuoshea
 
Unaingiaje mkenge bila kuweka mitego rshisi ya utambuzi.

Mfano: simu hiyo ungemuuliza jina la mtoto na pia jina la shule pamoja na jina la hosipitali.
Nilipata mshituko kwanza mkuu si unajua watoto tunavowapenda sema akili pia ikanijia fasta ndo nikafanya hayo uliyosema aakawa mkali ndo nikajua huyu tapeli
 
Ana bahati sana siku wa rekodi ila.mpaka sasa namba zao.zapatikana ukiwatwangia walivyo wajinha wana pokea.

Huwa najiulizaga hawa watu wa mawasiliano huwa wana handle vipi izi issue mbali na kuwa report
Wanashirikiana na wafanyakazi wa hayo makampuni. Ndiyo maana hayo makampuni hata ukiripoti hawatoi ushirikiano wowote na wala hawazifungii hizo namba. Ni wale wa namba 100 huduma kwa wateja.
 
Ni wafanyakazi wa hiyo kampuni walidukua mawasiliano yako wakajua una mtoto shule. Ndo maana hakuna hatua zinachukuliwa hata ukiripoti.
 
2016 waojnitapeli.
Ajira za jeshi kwa mdogo wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…