nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Ukweli ni kuwa keko kuna sehemu wanakuwa na pikipiki nyingi used wanauza ila nyingi zake ni za wizi ,alafu pia kuwa makini unaweza kutuma hela na pikipiki usiione .Wakuu nimefanikiwa kupata pesa milioni 1. 3 nataka pikipiki used boxa yenye plate namba D, hizi HD nafikiri naweza pata kwa akiba hii..
Sasa utaratibu huu sijaelewa vizuri, naomba mwenye uelewa hatua za kufanya ili kupata pikipiki bila usumbufu Vitu gani nizingatie
uzi umekamilika bossHeading mbona inatofautiana na maudhui
nashukuru, je ikiwa sina mtu?Tafuta mtu unaefahamiana nae hapa dar aende akague ndipo ulipie. Hii ni kupunguza risk tu. Ahsante
Wewe upo mkoa Gani? Kwasasb Kwa Hela hyo sio lazima uagize dar yawezekana ndani ya mkoa uliopo ukapata pkpk used hapohapo.Wakuu nimefanikiwa kupata pesa milioni 1. 3 nataka pikipiki used boxa yenye plate namba D, hizi HD nafikiri naweza pata kwa akiba hii..
Sasa utaratibu huu sijaelewa vizuri, naomba mwenye uelewa hatua za kufanya ili kupata pikipiki bila usumbufu Vitu gani nizingatie
Uzi ufungweWewe upo mkoa Gani? Kwasasb Kwa Hela hyo sio lazima uagize dar yawezekana ndani ya mkoa uliopo ukapata pkpk used hapohapo.
Achana na hilo wazo utapoteza pesa yako bure.nashukuru, je ikiwa sina mtu?
Iringa bossWewe upo mkoa Gani? Kwasasb Kwa Hela hyo sio lazima uagize dar yawezekana ndani ya mkoa uliopo ukapata pkpk used hapohapo.
Sio watu kwa vip mkuuTuma mtu wako aende akaikague kisha tuma kwa lipa number, wabongo sio watu
Hivi ni kwanini bodaboda wa mkataba wanafanya hivyo. Yani anaendesha mwaka mzima anamkusanyia pesa boss mkataba unaisha badala ya kumiliki chuma yake mwenyewe anaamua kuuza na kuingia mkataba mwingineAchana na hilo wazo utapoteza pesa yako bure.
Hapo kuna mawili either utumiwe skrepa au utumiwe pikipiki ya wizi sasa kwa nini ulazimishe kitu kama hicho si bora tu ubaki na pesa yako au ufanye biashara zingine.
Ila kama unaona lazima ufanye biashara ya bodaboda nenda kwenye kijiwe chochote cha bodaboda karibu na maeneo ulipo waulizie huwezi kukosa mtu anayeuza pikipiki mara nyingi huwa wakimaliza mikataba ya bodaboda wanakabidhiwa pikipiki na mmiliki wa pikipiki kisha wanauza na kuanza mkataba sehemu nyingine hii ndio njia salama kwako hakuna haja ya kuharakisha
unaishi kesUkweli ni kuwa keko kuna sehemu wanakuwa na pikipiki nyingi used wanauza ila nyingi zake ni za wizi ,alafu pia kuwa makini unaweza kutuma hela na pikipiki usiione .
Nenda mwenyewe ila upate mtu akusindikize mpaka walipo hao jamaa usijekabwa ukanyang'anywa na hela yako .
Nb :mitaa yangu hivyo haiitaji source yoyote
ya pamojaHivi ni kwanini bodaboda wa mkataba wanafanya hivyo. Yani anaendesha mwaka mzima anamkusanyia pesa boss mkataba unaisha badala ya kumiliki chuma yake mwenyewe anaamua kuuza na kuingia mkataba mwingine
Wanakuwa wamebanwa na matatitzo mbalimbali na njia pekee ya kupata hela nyingi kwa harala ni kuuza tu pikipikiHivi ni kwanini bodaboda wa mkataba wanafanya hivyo. Yani anaendesha mwaka mzima anamkusanyia pesa boss mkataba unaisha badala ya kumiliki chuma yake mwenyewe anaamua kuuza na kuingia mkataba mwingine
Hapo nimekupata mkuu, lakini sidhani suruhisho si kuuza chombo hawajui tu Hawa ndugu zetu... Ukiwa na chombo chako mwenyewe hesabu unaiona na hizo shida unaweza jibana ukaendeaha kwa miezi miwili ukazitatua kama si kuzipunguza kwa cash uliyoidunduliza. Si kuuza chombo ambacho umekisotea kwa mwaka mzima.Wanakuwa wamebanwa na matatitzo mbalimbali na njia pekee ya kupata hela nyingi kwa harala ni kuuza tu pikipiki