Nimepigiwa simu nitume pesa nitumiwe pikipiki kutoka Dar keko nilikoagiza

Nimepigiwa simu nitume pesa nitumiwe pikipiki kutoka Dar keko nilikoagiza

Wakuu nimefanikiwa kupata pesa milioni 1. 3 nataka pikipiki used boxa yenye plate namba D, hizi HD nafikiri naweza pata kwa akiba hii..

Sasa utaratibu huu sijaelewa vizuri, naomba mwenye uelewa hatua za kufanya ili kupata pikipiki bila usumbufu Vitu gani nizingatie
Unaenda kutapeliwa mkuu!
 
Back
Top Bottom