Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado natumia GB WhatsApp na sijawahi pigwa banUnatumia genuine app? Unahistoria ya kutumia?
Probably hu violate functions zao kama kutuma video ndfu nk, apart from that , it just a matter of timeBado natumia GB WhatsApp na sijawahi pigwa ban
Acha huo mchezo, watakupa ban ya milele na kama namba yako unaipenda ndo itakua basi tena, tumia genuine wasapNdio, hata hii whatsApp ambayo nimepigwa nayo Ban ni whatsApp Original kabisa wala sio MOD!
Simu yako ni Oppo?Ndio, hata hii whatsApp ambayo nimepigwa nayo Ban ni whatsApp Original kabisa wala sio MOD!
Sababu ni hiyo GB WhatsAppBado natumia GB WhatsApp na sijawahi pigwa ban
Hivi kumbe WhatsApp napo kuna mambo za kupewa ban doh!!! Nilikua sijuiii
Lugha zimegongana hapo, understandable mkuu, hapo sina maelezoHaujanielewa! Nimeandika kwamba ninatumia genuine whatsApp application ile ile ya META wenyewe na situmii hizi MODS za whatsApp.
PS: Na download whatsApp kutoka playstore
Hili swali mtu anaweza kuhisi utani ila lina maana sana. Sijui kuna tatizo gani kati ya Oppo na Whatsapp.Simu yako ni Oppo?
Hii namba ulikua unaitumia kwenye GB WhatsApp ndo maanaNdio, hata hii whatsApp ambayo nimepigwa nayo Ban ni whatsApp Original kabisa wala sio MOD!
Ulichoongea ni kweli kuna jamaa alikua na oppo whatsApp iligoma kabisa ikabidi anunue samsungHili swali mtu anaweza kuhisi utani ila lina maana sana. Sijui kuna tatizo gani kati ya Oppo na Whatsapp.
0ppo nyingi Dubai used.Hili swali mtu anaweza kuhisi utani ila lina maana sana. Sijui kuna tatizo gani kati ya Oppo na Whatsapp.
InakusubiriBado natumia GB WhatsApp na sijawahi pigwa ban
labd utueleweshe vya kueleweka aisee ulokua ukyafanya ili tuone umeonewa au ni haki yako mkubwaaaHabari kwa wanaJamiiForums wote!
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, siku ya jana baada ya kuifungua account yangu ya whatsApp niliendelea na mambo yangu ya kawaida (ku-chat na kuangalia baadhi ya vitu nilivyotumiwa), ghafla nikakutana na Ban ikionesha nimezuiwa kutumia akaunti ya whatsApp. Niliandika review na kuituma whatsApp, baada ya masaa 24 nilipata ujumbe kwamba nilikiuka Sheria za whatsApp.
Siku ya leo nimetumia namba nyingine nakujiunga whatsApp lakini mambo yamebaki vile vile nimelimwa Ban nyingine. Sababu ni ile ile, imefika muda nimeona haya mambo ya whatsApp nikuachana nao tu. Ufanye hiki unaambiwa umevunja sheria 😂😂😂
Kwani oppo zetu zina shida gani mkuuSimu yako ni Oppo?