Nimepigwa Ban mbili za whatsApp ndani ya siku mbili

Nimepigwa Ban mbili za whatsApp ndani ya siku mbili

Mara nyingi ni;
  • Kutumia WA feki au kuwahi kutumia WA feki huko nyuma.
  • Kutuma tuma msg ovyo SPAM.
  • Kuharas watu wakakuripoti.
  • Kutumia app zengine feki kwa kudowload apk kusikokueleweka hizi zinaweza kutuma msg WA kwa niaba yako kwa kutumia namba yako so wewe ndo unakula ban, reset simu kama ulifanya haya.
  • Baadhi ya simu za kichina zinakuwa detected kimakosa kuwa zinatumia WA feki hata kama unatumia ya kweli hakuna la kufanya zaidi ya kubadili simu ukikumbwa na hili.
 
Nakosa huduma za whatsap kila nikidownload app yao wanaifungia wanasema sio Official wakati ni from playstore
 
Kuna simu za Oppo zile used from Dubenga na baadhi ya Huawei zinapigwa ban WhatsApp tena kwenye app official kabisa issue kubwa ni Google Paly Services ikiwa ina sumbua au ikiwa outdated au imeweka kwa njia za kuforge wanakuchapa ban, na hata wanaotumia custom roms baadhi zinalimwa ban...
 
Back
Top Bottom