Nimepigwa Ban mbili za whatsApp ndani ya siku mbili

Ndio, hata hii whatsApp ambayo nimepigwa nayo Ban ni whatsApp Original kabisa wala sio MOD!
Acha huo mchezo, watakupa ban ya milele na kama namba yako unaipenda ndo itakua basi tena, tumia genuine wasap
 
Didi you agree with terms and condition? unakoseaga Taarifa labda
 
Haujanielewa! Nimeandika kwamba ninatumia genuine whatsApp application ile ile ya META wenyewe na situmii hizi MODS za whatsApp.

PS: Na download whatsApp kutoka playstore
Lugha zimegongana hapo, understandable mkuu, hapo sina maelezo
 
labd utueleweshe vya kueleweka aisee ulokua ukyafanya ili tuone umeonewa au ni haki yako mkubwaaa
huenda tukfaam utatuepusha AU hautaki ili tuwe sawa kama ilvo usawa vya kila mtanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…