mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Hakuna mke wa mtu asiyeliwa niamini mimi brooKwahiyo huyo mdada bado anafaa kwa matumizi ya sogea tuishi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mke wa mtu asiyeliwa niamini mimi brooKwahiyo huyo mdada bado anafaa kwa matumizi ya sogea tuishi?
Nakuamini sana broHakuna mke wa mtu asiyeliwa niamini mimi broo
Makabila ya kanda ya ziwa yana majina ya watu wanaovuruga uchumba wa mtu, wanaitwa 'bhasobhezi', hiyo ni title kabisa yaani.Ndugu zangu mimi nipo DSM nimechumbia Arusha.. Na nilipanga ndoa iwe mwezi Wa kumi mwishoni.. Sasa leo wakati nimetulia nikapokea SMS kwenye namba ngeni ikaniambia kwamba mwanamke ninae taka kumuoa ana wanaume wengi na hata nilivyo mvisha pete bado yupo nao na jana alikua lodge na mwanaume...nikabisha nikamwambia anipe ushahidi jamaa akaniomba namba za whatsapp nikampa nilicho kikuta sikuamini kumbe jamaa alimrekodi wakati anamla asee niyeye Kabisa sio editing jamaa kaniambia kwamba kama nina oa nioe tu lakini nijue kwamba naoa mtu Wa namna gani.... Hapa nilipo nahisi presha kabisa... Naombeni ushauri wakuu
Sawa aoe ila video sasa nasie tujioneeUtaweweseka.Mwache aoe.Maana maswali mengine...!
Mshukuru sana huyo jamaa mtumie hata kahela ka beer tatu.Ndugu zangu mimi nipo DSM nimechumbia Arusha.. Na nilipanga ndoa iwe mwezi Wa kumi mwishoni.. Sasa leo wakati nimetulia nikapokea SMS kwenye namba ngeni ikaniambia kwamba mwanamke ninae taka kumuoa ana wanaume wengi na hata nilivyo mvisha pete bado yupo nao na jana alikua lodge na mwanaume.
Nikabisha nikamwambia anipe ushahidi jamaa akaniomba namba za whatsapp nikampa nilicho kikuta sikuamini kumbe jamaa alimrekodi wakati anamla asee ni yeye Kabisa sio editing jamaa kaniambia kwamba kama nina oa nioe tu lakini nijue kwamba naoa mtu Wa namna gani. Hapa nilipo nahisi presha kabisa...
Naombeni ushauri wakuu
Ndugu ,,,siku njema huonekana tangu asubuhiMakabila ya kanda ya ziwa yana majina ya watu wanaovuruga uchumba wa mtu, wanaitwa 'bhasobhezi', hiyo ni title kabisa yaani.
Kwa hoja yako hiyo embu ichimbe kiundani zaidi ili uelewe mantiki ya wewe kupewa taarifa hiyo katika kipindi hiki ni nini hasa?
Je mtu asiyekufahamu wewe, anaweza kukupenda zaidi kukuhabarisha habari za faida?
Rudi kwenye nafsi yako, hivi kweli wewe ni msafi wa mfano kuweza kumnyooshea mwenzako kidole kwa haki juu ya mambo anayofanya ambayo hujawahi kuyafanya?
Rudi kwenye jamii, hivi tamaduni za kuoa mabinti mabikra bado zipogo, wangapi wanyooshe mikono juu kutudhihirishia kuwa kuwa wao walioa vigori na bikra zao og sealed, na siyo zile bikra feki?
Kijana, angalia mizani ya upendo wenu na huyo nwenzako upoje?
Huyo msichana mchumba wako yupo kwenye vita ngumu sana na wabaya wake pamoja na mahawara zake ili asiweze kufanikiiaha ndoto zake za kuolewa.
Badala yake anatakiwa abaki nao hao warusha picha wakimtumia kama mtumwa wao wa kingono bila ya uelekeo, embu okoa jahazi kiume.
Kihunzi cha kwanza cha asessment muhimu katika maisha ya ndoa umekiruka kirahisi tena kwa kurahisishiwa na vishoka, sasa umebakiza vichache virahisi ambavyo utakuja kuvimalizia mkianza kuishi pamoja na utamuwini vizuri sana huyo mwanamke ukiiahi naye.
Huwa ni mtihani mkubwa sana kudhani umeoa mwanamke 'wautulie' kumbe ni kipanga kisichokosa mawindo!
Umeshamwelewa baadhi ya background ya tabia zake ni rahisi sasa kuweza kuishi naye kama ni kweli aliyopigwa nayo picha akiyafanya, atajirekebisha na kuachana nayo, maana mambo haya ni hulka ya vijana wote wa rika lenu.
Na mkiona mmefanikiwa na kuannza kuishi pamoja na kwa malengo, tabia hizo hujiua zenyewe mwilini mwa mtu kama vile Ccm ya Kikwete na Mukama ilivyojivua gamba 2011😁😁😜
Itapendeza ukimuoa na kuzipangua figisu na fitina zote anazopigwa mwenzako.
Maana saazingine yawezekana naye huko kashatumiwa kashifa zako ili kuwavuruga lengo lenu lisiwezekane kama nilvyokwisha sema.
Hiki unacho shauri...wewe binafsi ungeweza kukifanya endapo ingetokea kwako?Wewe umeshavua wangapi na wengine bila kujua ni wachumba wa watu?.
Muite muulize kama yupo serious, kisha akalishwe kitako kuambiwa ukweli wa maisha ya Ndoa then chukua mke.
Ukitaka wa kwako ambaye hajaguswa basi kamchukue hospitali akiwa katoka tumboni umlee hadi uzeeni akiwa ndani ya chumba chenye kufuri 100!!.
Unampuuza kama umebaini alichokiongea ni uongo.Kwanza huyo jamaa aliyepata namba yako ulipaswa kumpuuza ili kuepusha stress za mapema, pili whatever umetoa au hujatoa mahali, kata shauli kama umempenda naye hivyo, endelea na process.
Vinginevyo hutapata au utapata ajuza, wako tu peke yako -Asante.
🤣🤣🤣Hiki unacho shauri...wewe binafsi ungeweza kukifanya endapo ingetokea kwako?