Nimepigwa na kitu kizito, mwanamke nayetaka kumuoa nimebaini hajatulia

Muoe kaka wanawake ni malaika,wanawake wanabadilika,akiingia kwenye ndoa atatulia tu huyo,wanaooa mabikira ni wajinga,huu ushauri kutoka kwa Natafuta Ajira
Duhhh mhuuu!!!!!!!! Woy, laahhhhh!, eti wanawake ni malaika, uongo wa Karne huu, acha kupiga wenzako na kitu kizito basi
 
Ndugu zangu mimi nipo DSM nimechumbia Arusha.. Na nilipanga ndoa iwe mwezi Wa kumi mwishoni.. Sasa leo wakati nimetulia nikapokea SMS kwenye namba ngeni ikaniambia kwamba mwanamke ninae taka kumuoa ana wanaume wengi na hata nilivyo mvisha pete bado yupo nao na jana alikua lodge na mwanaume.

Nikabisha nikamwambia anipe ushahidi jamaa akaniomba namba za whatsapp nikampa nilicho kikuta sikuamini kumbe jamaa alimrekodi wakati anamla asee ni yeye Kabisa sio editing jamaa kaniambia kwamba kama nina oa nioe tu lakini nijue kwamba naoa mtu Wa namna gani. Hapa nilipo nahisi presha kabisa...

Naombeni ushauri wakuu
Kama ni kweli huyo habadiliki tena,. Maana alipaswa aheshimu mtu wake aliyemlipia mahari,. Sasa wewe umemheshimisha, wengine wanapewa bureeee!!! Inauma sana. Ila fanya uchunguzi wa kina Kabla hujamuacha usije kujuta baadae. Ukithibitisha temana nae,. Ndoa c ya kujaribu huyo atakuwa ni mama WA watoto wako.
 
Mimi Kuna demu kavalishwa Pete Tarehe 10/8 huko Moshi hahaha nikimuangalia na Jamaa angeenda kumuoa mwezi wa 11 km sio wa 12 namuonea huruma maana demu ana circle sio poa maana washkaji zangu watatu washakula Mimi nishakula kimasihara ndgu yangu ashakula daah na nkikumbuka siku nikila alivyokua akipiga kelele😝😝Yan full kuugulia miguno kama yote alafu sa hv nasikia licha ya kuvalishwa Pete anamaduka mawili kafunguliwa na Moja kafunguliwa na ex wake mtoto wa kibopa mmoja hapo Jiji la Tanga na lingine la huyo husband to be wake hapo makao makuu ya Nchi😝😝😝 na wakati Mimi nlikua namkula kwa simu nlomuhonga kesho kutwa anaolewa mwamba mwenyewe humble mstaarabu sijui atakua huku JF😝😝😁nisije aribu Code nkawa mchawi wa mambo ya watu bure ila namuonea huruma tu sana jamaa angejua anachoenda kuingiza nyumbani kwake angekimbia avunjike miguu yote
Wewe umeoa? Kama bado siku ukiwa unaoa na wewe watakuonea huruma hivyo hivyo.
 
Ndugu ,,,siku njema huonekana tangu asubuhi

Ebu fikiria amekua na mchumba seriously kabisa mpaka Pete hadi posa tayari kimebakia ndoa Bado unagawa uroda kwingine,,,,

Hapo aachane na mpango huo
Nakuunga mkono kwa hoja yako, lakini ndugu yangu kuna mambo mengi sana yasiyofurahisha ambayo hufanywa na wachumba wa pande zote mbili kwa siri kuchunga mchumba asiyajue, sasa hili limejulikana lakini kwa njia ya hila.

Ndiyo nikasema aweza akafumbia macho na pasiwe na madhara yoyote kama mchumba huyo ana upendo kwake usiotiliwa mashaka .

Na kwa teknolojia za kisasa kuhusu sayansi ya picha ipo advanced sana, kiasi cha mtu kushindwa kutofautisha ya kweli na ya uongo.

Lakini huyo mchumba kama ni shakubimbi kweli na ameridhika naye, kipimo cha kwanza kimekwisha kupita, ampime kwa mambo mengine sasa kisha achukue hatua nadhubuti.

Kwenye mabaraza ya usuluhishi wa ndoa, huwa hatutoi ushauri wa kuvunja bali wa kujenga.
 
Ndugu zangu mimi nipo DSM nimechumbia Arusha.. Na nilipanga ndoa iwe mwezi Wa kumi mwishoni.. Sasa leo wakati nimetulia nikapokea SMS kwenye namba ngeni ikaniambia kwamba mwanamke ninae taka kumuoa ana wanaume wengi na hata nilivyo mvisha pete bado yupo nao na jana alikua lodge na mwanaume.

Nikabisha nikamwambia anipe ushahidi jamaa akaniomba namba za whatsapp nikampa nilicho kikuta sikuamini kumbe jamaa alimrekodi wakati anamla asee ni yeye Kabisa sio editing jamaa kaniambia kwamba kama nina oa nioe tu lakini nijue kwamba naoa mtu Wa namna gani. Hapa nilipo nahisi presha kabisa...

Naombeni ushauri wakuu
sasa ushauri gani mkuu wakati picha unalo unataka nini tena
 
Mimi Kuna demu kavalishwa Pete Tarehe 10/8 huko Moshi hahaha nikimuangalia na Jamaa angeenda kumuoa mwezi wa 11 km sio wa 12 namuonea huruma maana demu ana circle sio poa maana washkaji zangu watatu washakula Mimi nishakula kimasihara ndgu yangu ashakula daah na nkikumbuka siku nikila alivyokua akipiga kelele😝😝Yan full kuugulia miguno kama yote alafu sa hv nasikia licha ya kuvalishwa Pete anamaduka mawili kafunguliwa na Moja kafunguliwa na ex wake mtoto wa kibopa mmoja hapo Jiji la Tanga na lingine la huyo husband to be wake hapo makao makuu ya Nchi😝😝😝 na wakati Mimi nlikua namkula kwa simu nlomuhonga kesho kutwa anaolewa mwamba mwenyewe humble mstaarabu sijui atakua huku JF😝😝😁nisije aribu Code nkawa mchawi wa mambo ya watu bure ila namuonea huruma tu sana jamaa angejua anachoenda kuingiza nyumbani kwake angekimbia avunjike miguu yote
It always ends unfairly for a nice guy.
 
Ndugu ,,,siku njema huonekana tangu asubuhi

Ebu fikiria amekua na mchumba seriously kabisa mpaka Pete hadi posa tayari kimebakia ndoa Bado unagawa uroda kwingine,,,,

Hapo aachane na mpango huo
Hio inaonesha dhahir kwamba hata akiolewa ataendelea kuliwa Nje
 
Je kama video ni ya zaman kabla hujamchumbia
Umeniwahi mkuu.
Huenda huyo jamaa aliyetoa taarifa ni frustrated ex wa mchumba wa mtoa mada na alirekodi iwe kete ya kumharibia huyo mwanamke.

Kama jamaa anakifua apotezee hiyo taarifa. Kuingia kwenye ndoa kunahitaji ujasiri na kutokata tamaa.
 
Acheni ukatili hakuna aliye msafi
Tukiishi kwenye hii kauli basi wezi, wachawi, matapeli ,majambazi watekaji ,watoa mimba wanatakiwa wasibugudhiwe kwa sababu hakuna msafi ndani ya dunia hii.
Huwezi kuhalalisha uovu fulani kisa unafanywa na watu wengine.
 
Umeniwahi mkuu.
Huenda huyo jamaa aliyetoa taarifa ni frustrated ex wa mchumba wa mtoa mada na alirekodi iwe kete ya kumharibia huyo mwanamke.

Kama jamaa anakifua apotezee hiyo taarifa. Kuingia kwenye ndoa kunahitaji ujasiri na kutokata tamaa.
Haijalishi ni ya sasa au zamani.
Acha alipie gharama ya kuendekaza uzinzi.
 
Umezingatia tareh iliyorekodiwa hiyo video maana maEx wengine hawapendi kuona wenzao wanaoa na kuolewa.
 
AnyWayZ sisi sote tutaoa malaya, omba tu malaya wako asiwe maarufu ukaaibika sana.
 
Back
Top Bottom