Nimepigwa na kitu kizito, mwanamke nayetaka kumuoa nimebaini hajatulia

Nimepigwa na kitu kizito, mwanamke nayetaka kumuoa nimebaini hajatulia

Mwanamke hajui chochote kwamba Video nimesha ipata nabado sijamwambia
Basi una tatizo mahala...

Hii ishu sio ya kawaida na hata mwanamke wenyewe usipochukua action kwa jambo hilo anaweza akaanza yeye kukuacha kwasababu hata yeye anaamini kosa hilo sio rahisi kusamehewa.

Anaweza kufikiria kuwa una mpango wa kufanya revenge katika namna ya kikatili kwa hiyo bora ajiepushe mapema kwa kukuacha.
 
Ndugu zangu mimi nipo DSM nimechumbia Arusha.. Na nilipanga ndoa iwe mwezi Wa kumi mwishoni.. Sasa leo wakati nimetulia nikapokea SMS kwenye namba ngeni ikaniambia kwamba mwanamke ninae taka kumuoa ana wanaume wengi na hata nilivyo mvisha pete bado yupo nao na jana alikua lodge na mwanaume.

Nikabisha nikamwambia anipe ushahidi jamaa akaniomba namba za whatsapp nikampa nilicho kikuta sikuamini kumbe jamaa alimrekodi wakati anamla asee ni yeye Kabisa sio editing jamaa kaniambia kwamba kama nina oa nioe tu lakini nijue kwamba naoa mtu Wa namna gani. Hapa nilipo nahisi presha kabisa...

Naombeni ushauri wakuu
Bado upo. Usioe kataa ndoa na huyo tafuta goma lingine
 
H
Aliyekutumia hiyo video lazima kuna jambo lunamuumiza labda kwa kumkosa huyo binti au whatever.. sidhani kama ana nia njema kwako..au unadhani anakupenda sana haki akupe taarifa?
Hio haiondoi uhalisia kua demu ni malaya
 
Ndugu zangu mimi nipo DSM nimechumbia Arusha.. Na nilipanga ndoa iwe mwezi Wa kumi mwishoni.. Sasa leo wakati nimetulia nikapokea SMS kwenye namba ngeni ikaniambia kwamba mwanamke ninae taka kumuoa ana wanaume wengi na hata nilivyo mvisha pete bado yupo nao na jana alikua lodge na mwanaume.

Nikabisha nikamwambia anipe ushahidi jamaa akaniomba namba za whatsapp nikampa nilicho kikuta sikuamini kumbe jamaa alimrekodi wakati anamla asee ni yeye Kabisa sio editing jamaa kaniambia kwamba kama nina oa nioe tu lakini nijue kwamba naoa mtu Wa namna gani. Hapa nilipo nahisi presha kabisa...

Naombeni ushauri wakuu
Kama hujaoa shukuru Mungu,jipanguse anza upya
 
Yaani umeshatega mabomu kwenye Akili yako Bomu la kwanza kujua unatyombewer Bomu la pili kuleta hapa jf Ushauli wangu achana na hiyo taka taka ni bora angechepuka ndani ya Ndoa ungeweza kumsamehe ila kabla anakuonyesha rangi yake mapema kama unabisha we Oa huyo Taifa Stars.
 
Wewe unataka nn mkuu??? Ktk swala kama hili kila mmoja atakuwa na mtazamo na maamuzi yake hivyo ningekushauri uzingatie utashi wako zaidi!
 
Kwanza huyo jamaa aliyepata namba yako ulipaswa kumpuuza ili kuepusha stress za mapema, pili whatever umetoa au hujatoa mahali, kata shauli kama umempenda naye hivyo, endelea na process.

Vinginevyo hutapata au utapata ajuza, wako tu peke yako -Asante.
Wewe ni hopeless kabisa. Unamshaurije mtu aoe Malaya?
 
Makabila ya kanda ya ziwa yana majina ya watu wanaovuruga uchumba wa mtu, wanaitwa 'bhasobhezi', hiyo ni title kabisa yaani.

Kwa hoja yako hiyo embu ichimbe kiundani zaidi ili uelewe mantiki ya wewe kupewa taarifa hiyo katika kipindi hiki ni nini hasa?

Je mtu asiyekufahamu wewe, anaweza kukupenda zaidi kukuhabarisha habari za faida?

Rudi kwenye nafsi yako, hivi kweli wewe ni msafi wa mfano kuweza kumnyooshea mwenzako kidole kwa haki juu ya mambo anayofanya ambayo hujawahi kuyafanya?

Rudi kwenye jamii, hivi tamaduni za kuoa mabinti mabikra bado zipogo, wangapi wanyooshe mikono juu kutudhihirishia kuwa wao walioa vigori na bikra zao og sealed, na siyo zile bikra feki?

Kijana, angalia mizani ya upendo wenu na huyo mwenzako upoje?

Huyo msichana mchumba wako yupo kwenye vita ngumu sana na wabaya wake pamoja na mahawara zake ili asiweze kufanikiiaha ndoto zake za kuolewa.

Badala yake anatakiwa abaki nao hao warusha picha wakimtumia kama mtumwa wao wa kingono bila ya uelekeo, embu okoa jahazi kiume.

Kihunzi cha kwanza cha asessment muhimu katika maisha ya ndoa umekiruka kirahisi tena kwa kurahisishiwa na vishoka, sasa umebakiza vichache virahisi ambavyo utakuja kuvimalizia mkianza kuishi pamoja na utamuwini vizuri sana huyo mwanamke utapoishi naye.

Huwa ni mtihani mkubwa sana kudhani umeoa mwanamke 'wautulie' kumbe ni kipanga kisichokosa mawindo!

Umeshamwelewa baadhi ya background ya tabia zake ni rahisi sasa kuweza kuishi naye kama ni kweli aliyopigwa nayo picha aliyafanya sijui mwaka gani, atajirekebisha na kuachana nayo, maana mambo haya ni hulka ya vijana wote wa rika lenu.

Na mkiona mmefanikiwa na kuanza kuishi pamoja na kwa malengo, tabia hizo hujivua zenyewe mwilini mwa mtu kama vile Ccm ya Kikwete na Mukama ilivyojivua gamba 2011😁😁😜.

Itapendeza ukimuoa na kuzipangua figisu na fitina zote anazopigwa nazo mwenzako.

Maana saazingine yawezekana naye huko kashatumiwa kashifa zako ili kuwavuruga ili lengo lenu lisiwezekane kama nilvyokwisha sema.
Vijana mnapotea na ushauri wenu wa kipuuzi. Hivi unadhani kiapo Cha kanisa kinaweza badilisha tabia ya mwanamke akishamuoa ?

Katika kipindi ambacho kuoa bikra ni muhimu, ni kipindi hiki. Maana technology itakuja kukuumbua siku moja ukioa mwanamke Malaya au ambaye keshapitia mahusiano kibao uko nyuma.

Hawa mabinti wanarekodiwa na kupigwa picha za uchi wakifanya mapenzi kwa kutaka wao au kwa kutegeshewa. Just assume ushaoa unakutana na picha chafu za mkeo. Utafanyaje?
 
Back
Top Bottom