kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Kuna mmoja aligongwa na jamaa na kesho yake akaenda kufunga harusi na mwingine. Aliyemgonga nae alihudhuria hiyo harusi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fukuzia mbali.Nijuzi jumatatu ndugu
Una moyo mkuu sana.Wewe umeshavua wangapi na wengine bila kujua ni wachumba wa watu?.
Muite muulize kama yupo serious, kisha akalishwe kitako kuambiwa ukweli wa maisha ya Ndoa then chukua mke.
Ukitaka wa kwako ambaye hajaguswa basi kamchukue hospitali akiwa katoka tumboni umlee hadi uzeeni akiwa ndani ya chumba chenye kufuri 100!!.
Chumba chenye kufuri 100 na mbususu nayo ai-lock na kufuri 100....Wewe umeshavua wangapi na wengine bila kujua ni wachumba wa watu?.
Muite muulize kama yupo serious, kisha akalishwe kitako kuambiwa ukweli wa maisha ya Ndoa then chukua mke.
Ukitaka wa kwako ambaye hajaguswa basi kamchukue hospitali akiwa katoka tumboni umlee hadi uzeeni akiwa ndani ya chumba chenye kufuri 100!!.
Mleta mada ishi hapa.Temana nae mkuu. Hakuna namna nyingine huyo temana nae. Kama ameendelea kuliwa hata baada ya kumvisha pete huyo achana nae mkuu,, achana nae mapema usije kuua mtu huko mbele.
Huyo anachotaka ni ndoa tu ila hakupendi. Mimi pia ilitokea hivyo mwaka jana, niko na demu kumbe kavishwa pete na anakuja kwangu namla kama kawaida, alivyoolewa nikaachana nae ila bado ananitaka nimpe mtalimbo ila namkwepa. Hata nikimtaka leo namla. Mumewe hajui chochote bora hata wewe unajua.
Wanawake wa hivyo sio wa kuoa, achana nae nakushauri. Shukuru umejua mapema, achana nae nakushauri. Huu ni ushauri wa bure, shauri yako.
Atatulia ukimuoa kwasasa bado anamachaguo mengi ikiwemo na wewe....Ndugu zangu mimi nipo DSM nimechumbia Arusha.. Na nilipanga ndoa iwe mwezi Wa kumi mwishoni.. Sasa leo wakati nimetulia nikapokea SMS kwenye namba ngeni ikaniambia kwamba mwanamke ninae taka kumuoa ana wanaume wengi na hata nilivyo mvisha pete bado yupo nao na jana alikua lodge na mwanaume.
Nikabisha nikamwambia anipe ushahidi jamaa akaniomba namba za whatsapp nikampa nilicho kikuta sikuamini kumbe jamaa alimrekodi wakati anamla asee ni yeye Kabisa sio editing jamaa kaniambia kwamba kama nina oa nioe tu lakini nijue kwamba naoa mtu Wa namna gani. Hapa nilipo nahisi presha kabisa...
Naombeni ushauri wakuu
Haitakiwi ushauri hapa. We ndio unamjua na unatakiwa kufanya maamuzi kama utaweza kuvumilia uzinzi wake haya kama huwezi hayaa. Kuna jamaa yuko Dar alitoka kwenye sendoff Jmosi halafu jmosi inayofuatia ndio harusi wako na mke mtarajiwa kwenye gari yake kumshusha akasahua kitochi kwenye gari ya mwamba sms alizokuta kwenye kitochi alitaka kuzimia. Alipiga chini fasta na Jmosi alienda ye na Ndugu zake wakala na kunywa maana walishalipia almost kila kitu na alikuja kuoa pisi nyingine baadae.Ndugu zangu mimi nipo DSM nimechumbia Arusha.. Na nilipanga ndoa iwe mwezi Wa kumi mwishoni.. Sasa leo wakati nimetulia nikapokea SMS kwenye namba ngeni ikaniambia kwamba mwanamke ninae taka kumuoa ana wanaume wengi na hata nilivyo mvisha pete bado yupo nao na jana alikua lodge na mwanaume.
Nikabisha nikamwambia anipe ushahidi jamaa akaniomba namba za whatsapp nikampa nilicho kikuta sikuamini kumbe jamaa alimrekodi wakati anamla asee ni yeye Kabisa sio editing jamaa kaniambia kwamba kama nina oa nioe tu lakini nijue kwamba naoa mtu Wa namna gani. Hapa nilipo nahisi presha kabisa...
Naombeni ushauri wakuu
Hujaelewa mada wewe😂😂, unaambiwa mtu hajatulia. Elegant neno KUTULIA.Wewe umeshavua wangapi na wengine bila kujua ni wachumba wa watu?.
Muite muulize kama yupo serious, kisha akalishwe kitako kuambiwa ukweli wa maisha ya Ndoa then chukua mke.
Ukitaka wa kwako ambaye hajaguswa basi kamchukue hospitali akiwa katoka tumboni umlee hadi uzeeni akiwa ndani ya chumba chenye kufuri 100!!.
NAKAZIAPiga chini.....
Video umesahau kuweka bro!