Nimepigwa na kitu kizito, mwanamke nayetaka kumuoa nimebaini hajatulia

Chukua hilo tukio alafu piga picha kwa binti uliozini nao then unaambiwa yule uliyelala/unakwenda kum§§%€<nya guest room ni mchumba watu!.

Usiwe mwepesi kumpiga nguruwe mshale!.
kwa hiyo unataka kuniambia kwamba jamaa aoe mwanamke ambaye anajua kabisa kuwa anachapiwa?
 
Kataa ndoa wamefika hapa? Au wamewaachieni dunia iwafunze?
Kusema ukweli ndoa ni very outdated institution. Asilimia kubwa ya watu wengi huingia huko kwa ssb ya social conformity.

Ulimwengu wa sasa unaweza kupata yote yaliyomo ndoani (can be outsourced from independent contractors) bila kuingia huko.
 
Ndugu elewa kitu kimoja mwanaume anaweza kuoa matala na Wala hamna shida je mwanamke anaweza kuolewa matala ,,,,,

By nature mwanamke kama ikitokea amechepuka basi kwa Siri sanaa na bahati mbaya hata watu waseme jamani kapitiwa ,,,,

Mwanamke Tena anayekubali kurodi tendo lake huyo hana akili iabisa
 
kwa hiyo unataka kuniambia kwamba jamaa aoe mwanamke ambaye anajua kabisa kuwa anachapiwa?
Fanya maamuzi.

Ila wewe umewavua wangapi chupi na wengine ni wachumba wake wa watu?.

• Usione dhambi mbaya kwako..!
 
Be a man bro kwa umr huo kuna kipi kigen unaoa ili ugonge au heshima kua una mke na azae oa tia mimba atatulia tu hao wanaokujaza upepo kua hajatulia ukiwafuatilia wapenz wao utasema bora ya wewe hizo ni kama zile story za mtaan flan malaya ana ukimw wakat hata kumpima hujawai sikiliza moyo wako fanya kinachokupa furaha
 
Bikra ndo tunao kwa ndoa tushawaambia hawa wengine ni sogeza tuishi tu mkuu.......

Tatizo vijana mchana sana notes za masomo ya nyuma....
Kwann una code zangu mkuu?
Kuishi nao tusikatae lakini kuoa? Hapana aisee..
 
Jamaa bana, moto umewaka unamwambia mtu aingie tu akaokoe baiskeli. Angekuwa demu tu hajatoa mahari wala nini hapo sawa. Angeweza kuwaza labda kwa kuwa hajampa indications za kumuoa, anahaha kwamtu wake wa zamani.

Mpaka ana recordiwa maana yake anamkubali sana huyo mtu
 
Ndiyo vizuri nyota njema huanzia nyumbani, wako wengi hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…