ufumawicha
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 504
- 209
Jamani wadau,
Naomba msaada,
Nimepigwa na mume na kuumia vibaya.
Sheria iko vipi katika hili?
Pole sana dada.
Wanaume wanaopiga wanawake wengi wao wana shida kwenye uanaume wao au aina ya malezi waliyopata. Kama sio ana ishu ambayo inampunguzia uanaume wake(kama vile matatizo ya nguvu za kiume,uume mdogo,kuonewa na wanaume wenzake physically);-->Wenye shida hizi huhisi kama vile ili ku-prove uanaume wao(male ego) ambao unakuwa umeshuka kwa kasi ya ajabu, basi ni lazima na muhimu wawanyanyase na kuwapiga viumbe ambao ni dhaifu kwao(wanawake, watoto); Na huwa wanakuwa wakali wakali muda wote bila sababu yoyote ya msingi.
Au utakuta something went wrong wakati wa malezi yake(malezi ya mzazi mmoja,mama yake kunyanyaswa na baba yake mbele yake alipokuwa mdogo, historia ya kuwa sexually abused alipokuwa mdogo, malezi ya kimila ambayo yanasisitiza katika kuwaona wanawake kama sio binadamu au kama vile watoto).
Ni ukale wa kizamani sana kupiga mwanamke karne hii(japokuwa nakubali asilimia 100 kuwa mara nyingine wanawake huwa wana tempt sana uwapige---lakini hii kwa mwanaume wa kawaida asie na shida kisaikolojia atajizuia, na akizidiwa sana atampiga mwanamke kofi moja au mawili; Na sio kufikia extent ya kumpiga hadi kumtoa ngeu)
sikumtukana hataki nimrekebishe akikosea na hataki na mtoto akifanya kosa hataki nimuadhibu au kumgombeza mbele yake sasa kichapo kilianza pale nilipojaribu kumkosoa
achana na sheria we mvizie usiku kalala mwamshe ile akiitikia tu mdunde na marungu maeneo atakayo umia kirahisi .. ila mlango uwe wazi ukimbie asikukamate .. ila ujiandae kuachika
nimemshitaki kwa wazazi wake wala hawana lolote lakunisaidia ndo maana naulizia sheria
sitaki kuachananaye,naishi naye kisheria na kimapenzi ndo maana ndoa halali inatambulika kisheria na sitaki kumwacha kwa mapenzi niliyonayo kwake
Pole kwa kunyanyaswa, Sikuwa na maana mbaya isipokuwa kama wewe unampenda na yeye anakupenda basi kaeni chini mzungumze! Inawezekana alikosea au anahisi kama wewe unamfanyia dharau za makusudi, na mimi ninavyojua mtu anayekupenda hawezi akakupiga!!! Binafsi naona kama kumpiga mwanamke ni udhaifu mkubwa kwa mwanaume. Ongeeni kama mke na mume muyamalize.
Jamani wadau,
Naomba msaada,
Nimepigwa na mume na kuumia vibaya.
Sheria iko vipi katika hili?
Sababu gani mbona husemi?labda ulistahili kupigwa manake wanawake wengine usipowapiga hawaelewi.
Kuna sababu yoyote in this world inayompa mwanaume HAKI ya kumpiga mkewe?Hakuna anayepigwa pasipo sababu ndio useme ulimfanya nn
kwa statement hi tu inaonyesha wewe ndio tatizo,na mumeo ni mtu muungwana.thnk