Nimepigwa na mume

Nimepigwa na mume

Jamani wadau,

Naomba msaada,

Nimepigwa na mume na kuumia vibaya.

Sheria iko vipi katika hili?

Huwezi kumsamehe?Kwani wewe hujawahi kumkosea na yeye akakusamehe?Nasema hivyo kwa sababu ukimpeleka polisi,tuseme akifungwa watoto wako wataishije?
 
Pole sana dada.

Wanaume wanaopiga wanawake wengi wao wana shida kwenye uanaume wao au aina ya malezi waliyopata. Kama sio ana ishu ambayo inampunguzia uanaume wake(kama vile matatizo ya nguvu za kiume,uume mdogo,kuonewa na wanaume wenzake physically);-->Wenye shida hizi huhisi kama vile ili ku-prove uanaume wao(male ego) ambao unakuwa umeshuka kwa kasi ya ajabu, basi ni lazima na muhimu wawanyanyase na kuwapiga viumbe ambao ni dhaifu kwao(wanawake, watoto); Na huwa wanakuwa wakali wakali muda wote bila sababu yoyote ya msingi.

Au utakuta something went wrong wakati wa malezi yake(malezi ya mzazi mmoja,mama yake kunyanyaswa na baba yake mbele yake alipokuwa mdogo, historia ya kuwa sexually abused alipokuwa mdogo, malezi ya kimila ambayo yanasisitiza katika kuwaona wanawake kama sio binadamu au kama vile watoto).

Ni ukale wa kizamani sana kupiga mwanamke karne hii(japokuwa nakubali asilimia 100 kuwa mara nyingine wanawake huwa wana tempt sana uwapige---lakini hii kwa mwanaume wa kawaida asie na shida kisaikolojia atajizuia, na akizidiwa sana atampiga mwanamke kofi moja au mawili; Na sio kufikia extent ya kumpiga hadi kumtoa ngeu)

hz ngojela za western stupidity rights
 
sikumtukana hataki nimrekebishe akikosea na hataki na mtoto akifanya kosa hataki nimuadhibu au kumgombeza mbele yake sasa kichapo kilianza pale nilipojaribu kumkosoa

kwa statement hi tu inaonyesha wewe ndio tatizo,na mumeo ni mtu muungwana.thnk
 
Tafuta dawa meza. Dawa ya ndoa ni YESU tu!. Hakuna ushauri mwingine hapo
 
Angekimbia kabla ya kupewa kichapo, mi siwezi kusubiri kunyeshewa mvua ya mangumi na mateke. Najihami mapema.

achana na sheria we mvizie usiku kalala mwamshe ile akiitikia tu mdunde na marungu maeneo atakayo umia kirahisi .. ila mlango uwe wazi ukimbie asikukamate .. ila ujiandae kuachika
 
sitaki kuachananaye,naishi naye kisheria na kimapenzi ndo maana ndoa halali inatambulika kisheria na sitaki kumwacha kwa mapenzi niliyonayo kwake

basi endelea maana ya mapenzi ikamilike,yani kukubaliana na hali yoyote itokanayo na penzi.
 
Pole kwa kunyanyaswa, Sikuwa na maana mbaya isipokuwa kama wewe unampenda na yeye anakupenda basi kaeni chini mzungumze! Inawezekana alikosea au anahisi kama wewe unamfanyia dharau za makusudi, na mimi ninavyojua mtu anayekupenda hawezi akakupiga!!! Binafsi naona kama kumpiga mwanamke ni udhaifu mkubwa kwa mwanaume. Ongeeni kama mke na mume muyamalize.

na huyu itakuwa alimfanyia dharau si rahisi mtu umeishi naye 3yrs hajawahi kukupiga leo from no where akupige.
 
Dont be foolish itavunja ndo yako mazima.otherwise unataka muachane kabisa u can go on na unachotaka kukifanya.kwa mwanaume ni bora udharauriwe na mtoto wa miaka 15 wa kiume kuliko kudharauriwa na mwanamke.
 
Jamani wadau,

Naomba msaada,

Nimepigwa na mume na kuumia vibaya.

Sheria iko vipi katika hili?

Sababu gani mbona husemi?labda ulistahili kupigwa manake wanawake wengine usipowapiga hawaelewi.
 
Kama hajawahi kukupiga mpaka mna mtoto unayeweza kumkanya basi alikuwa hakupendi. Ila sasa, anakuonesha mapenzi, Usijali, kwani hawezi kuharibu mahari yake
 
Tukusaidie nini?
Mambo ya ndabi yamalizeni nyinyi
 
Hill ni kosa LA jinai km mengine "shambulio LA kudhuru mwili" nenda polisi karipoti
 
Pole sana dada.

Wanaume wanaopiga wanawake wengi wao wana shida kwenye uanaume wao au aina ya malezi waliyopata. Kama sio ana ishu ambayo inampunguzia uanaume wake(kama vile matatizo ya nguvu za kiume,uume mdogo,kuonewa na wanaume wenzake physically);-->Wenye shida hizi huhisi kama vile ili ku-prove uanaume wao(male ego) ambao unakuwa umeshuka kwa kasi ya ajabu, basi ni lazima na muhimu wawanyanyase na kuwapiga viumbe ambao ni dhaifu kwao(wanawake, watoto); Na huwa wanakuwa wakali wakali muda wote bila sababu yoyote ya msingi.

Au utakuta something went wrong wakati wa malezi yake(malezi ya mzazi mmoja,mama yake kunyanyaswa na baba yake mbele yake alipokuwa mdogo, historia ya kuwa sexually abused alipokuwa mdogo, malezi ya kimila ambayo yanasisitiza katika kuwaona wanawake kama sio binadamu au kama vile watoto).

Ni ukale wa kizamani sana kupiga mwanamke karne hii(japokuwa nakubali asilimia 100 kuwa mara nyingine wanawake huwa wana tempt sana uwapige---lakini hii kwa mwanaume wa kawaida asie na shida kisaikolojia atajizuia, na akizidiwa sana atampiga mwanamke kofi moja au mawili; Na sio kufikia extent ya kumpiga hadi kumtoa ngeu)

Nakubaliana nawe kiasi. ni kweli shida kubwa ni kutojiamini vya kutosha, hasa hasa huyu aliyekosolewa na kuishia kupiga. Wanaume wanatakiwa kujua kuwa wanawake pia wana akili na wana vitu wanapenda na vingine hawapendi. so ukiambiwa hiki sio jibu kwa hoja mwenzio akuelewe.
 
achana na sheria we mvizie usiku kalala mwamshe ile akiitikia tu mdunde na marungu maeneo atakayo umia kirahisi .. ila mlango uwe wazi ukimbie asikukamate .. ila ujiandae kuachika

ata ivoo sishangai kumbe unaesema ivoo ndioo walee mnaotuwekeaga sumu kwenye chakula tufe....ushindwe na ulegee akili nyumbu wewe
 
Jamani wadau,

Naomba msaada,

Nimepigwa na mume na kuumia vibaya.

Sheria iko vipi katika hili?

Pole dada kwa kichapo...

ila nikuambie kitu kimoja tu,kama icho kichapo ndo mara yko ya kwanza kukipata toka kwa mumeo kwa kipindi choote cha ndoa yenu tangu mmeoana basi we msamehe tu kwa sababu katika sheria za ndoa/familia kuna kanuni inayoitwa "reasonable tear and wear of marriage"....kwamba kwa watu mnaoishi pamoja kama wanandoa lazima vitu kama mikwaruzano ya apa na pale na kutofahamiana vitokee,so hii ni kawaida katika ndoa ili kutimiza ubinadam wetu wa kukoseana.

kwa upande mwengine kama hiyo ndo imekuwa his persistent behavior nadhani una kila sababu ya kutafuta nafuu za kisheria ama kwa kumfungulia kesi ya jinai kama wengne walivoshauri apo juu au kufungua shauri la madai ya ndoa ili ndoa yenu ivunjwe na mahakama chini ya mazingira ya ukatili(cruelty) ambayo imepelekea ndoa yenu kuwa irreparably broken down.

NB:the second approach ya kufungua shauri la kutaka decree of divorce mahakamani,inabidi uitekeleze ikiwa tu umemchoka mumeo n hutaki kuishi nae tena kama mume n mke...kama bado wampenda dont go for it
 
Back
Top Bottom