Kamanda wa Kweli
JF-Expert Member
- Jul 13, 2014
- 1,448
- 845
Kikwetu (mimi ni mkurya) basi muume ndio anakupenda hadi balaa hapo! Mwandalie mambo mazuri tu kitandani!
Hahahaha
....aiseeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikwetu (mimi ni mkurya) basi muume ndio anakupenda hadi balaa hapo! Mwandalie mambo mazuri tu kitandani!
Sikia Dada sidhani kama hii ndio ya kwanza na hata kama ndio mara ya kwanza usikimbilie kwenye mitandao,ongea nae kama bado waeleze wazazi wake uwashirirkishe na wakwako,huyo ni mumewako wewe amekutoa kwa wazazi wako na ndoa yako ni ya halali, lia na mwenyezi mungu akupe subra na uvumilivu....nimezaa naye watoto watatu,mume wangu ni mtu wa manyara,wazazi wako hai,kosa alilonipiga nilimkosoa kwa alichokifanya ambacho hakikunifurahisha mimi
Pole sana, mshitaki kwa wazazi wake, lakini usisahahu kuwaambia wazazi wako pia kuwa umepigwa na kisa cha kupigwa ni nini! Ikishindikana jaribu kuwashirikisha viongozi wenu wa kidini, Usiende Polisi wala Nyumbakumi.nimezaa naye watoto watatu,mume wangu ni mtu wa manyara,wazazi wako hai,kosa alilonipiga nilimkosoa kwa alichokifanya ambacho hakikunifurahisha mimi
kwaniniNahisi hajakupiga
nimemshitaki kwa wazazi wake wala hawana lolote lakunisaidia ndo maana naulizia sheriaPole sana, mshitaki kwa wazazi wake, lakini usisahahu kuwaambia wazazi wako pia kuwa umepigwa na kisa cha kupigwa ni nini! Ikishindikana jaribu kuwashirikisha viongozi wenu wa kidini, Usiende Polisi wala Nyumbakumi.
achana na sheria we mvizie usiku kalala mwamshe ile akiitikia tu mdunde na marungu maeneo atakayo umia kirahisi .. ila mlango uwe wazi ukimbie asikukamate .. ila ujiandae kuachika
Kwani unataka kuachana naye? Kwani unaishi naye kwa sheria au mapenzi? Ukiingiza sheria manake mapenzi yameisha!nimemshitaki kwa wazazi wake wala hawana lolote lakunisaidia ndo maana naulizia sheria
sitaki kuachananaye,naishi naye kisheria na kimapenzi ndo maana ndoa halali inatambulika kisheria na sitaki kumwacha kwa mapenzi niliyonayo kwakeKwani unataka kuachana naye? Kwani unaishi naye kwa sheria au mapenzi? Ukiingiza sheria manake mapenzi yameisha!
kwahiyo unamaanisha kwa sababu naishi naye kimapenzi ndo nikubali unyanyasaji anaonifanyia?Kwani unataka kuachana naye? Kwani unaishi naye kwa sheria au mapenzi? Ukiingiza sheria manake mapenzi yameisha!
Pole kwa kunyanyaswa, Sikuwa na maana mbaya isipokuwa kama wewe unampenda na yeye anakupenda basi kaeni chini mzungumze! Inawezekana alikosea au anahisi kama wewe unamfanyia dharau za makusudi, na mimi ninavyojua mtu anayekupenda hawezi akakupiga!!! Binafsi naona kama kumpiga mwanamke ni udhaifu mkubwa kwa mwanaume. Ongeeni kama mke na mume muyamalize.kwahiyo unamaanisha kwa sababu naishi naye kimapenzi ndo nikubali unyanyasaji anaonifanyia?
sitaki kuachananaye,naishi naye kisheria na kimapenzi ndo maana ndoa halali inatambulika kisheria na sitaki kumwacha kwa mapenzi niliyonayo kwake
achana na sheria we mvizie usiku kalala mwamshe ile akiitikia tu mdunde na marungu maeneo atakayo umia kirahisi .. ila mlango uwe wazi ukimbie asikukamate .. ila ujiandae kuachika