Nimepigwa na mume

Nimepigwa na mume

Wewe dada mzima au una kichaa?dini zote zimeagiza sauti ya ke isizidi ya me ndani,maana ke awe na sauti ya chini kwa mumewe,alichofanya jamaa ni kupunguza sauti yako ndani,nasema hata mimi ningekubonda tu,huwezi kumkoromea mumeo halafu yeye akuangalie tu,tena kakugusa tu,ningekua mimi ungekoma wewe.Wewe dada mzima au una kichaa?dini zote zimeagiza sauti ya ke isizidi ya me ndani,maana ke awe na sauti ya chini kwa mumewe,alichofanya jamaa ni kupunguza sauti yako ndani,nasema hata mimi ningekubonda tu,huwezi kumkoromea mumeo halafu yeye akuangalie tu,tena kakugusa tu,ningekua mimi ungekoma wewe.
 
achana na sheria we mvizie usiku kalala mwamshe ile akiitikia tu mdunde na marungu maeneo atakayo umia kirahisi .. ila mlango uwe wazi ukimbie asikukamate .. ila ujiandae kuachika
Duuh agrriiii😱😱
 
Pole sana dada.

Wanaume wanaopiga wanawake wengi wao wana shida kwenye uanaume wao au aina ya malezi waliyopata. Kama sio ana ishu ambayo inampunguzia uanaume wake(kama vile matatizo ya nguvu za kiume,uume mdogo,kuonewa na wanaume wenzake physically);-->Wenye shida hizi huhisi kama vile ili ku-prove uanaume wao(male ego) ambao unakuwa umeshuka kwa kasi ya ajabu, basi ni lazima na muhimu wawanyanyase na kuwapiga viumbe ambao ni dhaifu kwao(wanawake, watoto); Na huwa wanakuwa wakali wakali muda wote bila sababu yoyote ya msingi.

Au utakuta something went wrong wakati wa malezi yake(malezi ya mzazi mmoja,mama yake kunyanyaswa na baba yake mbele yake alipokuwa mdogo, historia ya kuwa sexually abused alipokuwa mdogo, malezi ya kimila ambayo yanasisitiza katika kuwaona wanawake kama sio binadamu au kama vile watoto).

Ni ukale wa kizamani sana kupiga mwanamke karne hii(japokuwa nakubali asilimia 100 kuwa mara nyingine wanawake huwa wana tempt sana uwapige---lakini hii kwa mwanaume wa kawaida asie na shida kisaikolojia atajizuia, na akizidiwa sana atampiga mwanamke kofi moja au mawili; Na sio kufikia extent ya kumpiga hadi kumtoa ngeu)

Wanawake ndio hawajapata malezi mabovu toka kwa mzazi mmojawapo?

Nilipooa nilibahatika kwenda na mke wangu kwao kijijini kuishi kwa muda mfupi. Mambo niliyoyaona huko ni siri yangu lakini nimeamua kuitoa leo. Baba mkwe alikuwa na wakati mgumu sana kwa vile mama mkwe alikuwa amwahodhi watoto na kumtelekeza baba mkwe. Kwa kifupi alikuwa anadharaulika kiasi kwamba nilitamani kukemea.

Niliweka nadhiri moyoni mwangu siku mke wangu atanionyesha dharau ile basi nitampa adhabu kali. Na kweli baada ya kuishi naye kwa miaka 17 hivi siku moja aliniganyia kitu mbaya sana,yaani aliniletea maneno ya dharau.

Adhabi niliyompa hajarudia hata hivi leo,tunaushi kwa kuheshimiana.
 
Pole sana dada.

Wanaume wanaopiga wanawake wengi wao wana shida kwenye uanaume wao au aina ya malezi waliyopata. Kama sio ana ishu ambayo inampunguzia uanaume wake(kama vile matatizo ya nguvu za kiume,uume mdogo,kuonewa na wanaume wenzake physically);-->Wenye shida hizi huhisi kama vile ili ku-prove uanaume wao(male ego) ambao unakuwa umeshuka kwa kasi ya ajabu, basi ni lazima na muhimu wawanyanyase na kuwapiga viumbe ambao ni dhaifu kwao(wanawake, watoto); Na huwa wanakuwa wakali wakali muda wote bila sababu yoyote ya msingi.

Au utakuta something went wrong wakati wa malezi yake(malezi ya mzazi mmoja,mama yake kunyanyaswa na baba yake mbele yake alipokuwa mdogo, historia ya kuwa sexually abused alipokuwa mdogo, malezi ya kimila ambayo yanasisitiza katika kuwaona wanawake kama sio binadamu au kama vile watoto).

Ni ukale wa kizamani sana kupiga mwanamke karne hii(japokuwa nakubali asilimia 100 kuwa mara nyingine wanawake huwa wana tempt sana uwapige---lakini hii kwa mwanaume wa kawaida asie na shida kisaikolojia atajizuia, na akizidiwa sana atampiga mwanamke kofi moja au mawili; Na sio kufikia extent ya kumpiga hadi kumtoa ngeu)

We bana wewee, hujakutana na wadada hawa wa kisasa hasa Wa mijini. Nakubaliana na wewe KUWAPIGA sio poa, ila sio mbaya kwa kuwakumbusha kwa kuwanasa tuvibao tuwili tutatu wakiwa wanazinguazingua ili kuwakumbusha kuwa wao ni nani nasi nivije.
 
Hayo ni mahaba..mm nawashangaa mnaoleta issue kama hizi JF..yaani wazee wako au wakwe..wajomba...wazee wa Dini

.masheikh woote umewakosa
 
Utakuta amekukamata ukiliwa nanii.. Au ndo kakamata mipango.. Au tabia ako imebadlka ghafla.. Nidham imeenda shule... Usaf ndan cfur unachelewa kurud hme nk
 
Hayo ni mahaba..mm nawashangaa mnaoleta issue kama hizi JF..yaani wazee wako au wakwe..wajomba...wazee wa Dini

.masheikh woote umewakosa
kwan humu hao wazee wa din,mashehe hawapo?wewe kama huna ushauri funga domo lako
 
Ukiwa na mke kama miss chagga unatakiwa ulale na helmet, bullet proof vest na ngao kama ya polisi ile kakioo kwa juu na tochi unakuwa unalala huku unamchungulia, akileta fujo zake tu unamdaka fasta. Maana hakawii kukutia marungu kweli
 
Last edited by a moderator:
OK, sasa ishu ni nini Zaidi?
huyu mwanaume anadhani namdharau na hataki nimpinge wala kumrekebisha wala kumshauri kwa lolote analoamua sasa anapoleta hoja tujadili kwa ajili pale mimi ninapoonesha msimamo wangu kutokubaliana naye,mfano anataka kujenga nyumba ya wazaz wake kijijin sasa mimi sikubaliani naye sisi tunaishi town hatuna nyumba tunabanana kweny nyumba za kupanga nikamwambia tujenge ya kwetu then wazazi tutawaboreshea baadae nikampa option nyingine basi we nenda kawajengee wazazi wako na mimi naenda kuwajengea wazazi wazazi wangu tukimaliza program za huko vijijin tutajenga ya kwetu sasa hapo ndo anaona ninamdharau
 
Back
Top Bottom