Nimepigwa na mume

Nimepigwa na mume

kwahiyo unamaanisha kwa sababu naishi naye kimapenzi ndo nikubali unyanyasaji anaonifanyia?

Hii inawashinda wanawake wengi kitu kinachoitwa UVUMILIVU na kama unataka kuachana na mwanaume mpeleke kwenye sheria nakuambia itakuwa ndo mwisho wako wewe na yeye..
Wengi wamefanya hivyo
na wameachana kabsa.
 
huyu mwanaume anadhani namdharau na hataki nimpinge wala kumrekebisha wala kumshauri kwa lolote analoamua sasa anapoleta hoja tujadili kwa ajili pale mimi ninapoonesha msimamo wangu kutokubaliana naye,mfano anataka kujenga nyumba ya wazaz wake kijijin sasa mimi sikubaliani naye sisi tunaishi town hatuna nyumba tunabanana kweny nyumba za kupanga nikamwambia tujenge ya kwetu then wazazi tutawaboreshea baadae nikampa option nyingine basi we nenda kawajengee wazazi wako na mimi naenda kuwajengea wazazi wazazi wangu tukimaliza program za huko vijijin tutajenga ya kwetu sasa hapo ndo anaona ninamdharau

Huyu ni mwanamme uchwara, mpige chini atakurudisha nyuma kimaendeleo.
 
achana na sheria we mvizie usiku kalala mwamshe ile akiitikia tu mdunde na marungu maeneo atakayo umia kirahisi .. ila mlango uwe wazi ukimbie asikukamate .. ila ujiandae kuachika

wewe misschagga unamfundisha mwenzio utukutu eehehh...! ngoja kwanza adundwe apunguze mdomodomo... km ni mimi ukinipiga nitakukimbiza usiku kucha nitakapo kushikia hapohapo nitakuto...mba mpaka uishiwe nguvu ndiyo turudi nyumbani.
 
Last edited by a moderator:
sikumtukana hataki nimrekebishe akikosea na hataki na mtoto akifanya kosa hataki nimuadhibu au kumgombeza mbele yake sasa kichapo kilianza pale nilipojaribu kumkosoa

pole ila jifunze kidogo kumfanyia vitu vya kumfurahisha wanaume sisi ni wadhaifu ebu tumia passive way utafanikiwa polisi ni ujinga tu utaelekea tarakani..
 
The ultimate effect ya sheria ni kifungo ndo nakuuliza kama una utayari wa kumpelekea chakula gerezani? Nikimaanisha kama upo tayari ni rahisi kuelekezwa

sitaki kumpelekea hata chakula gerezani
 
Kule songea mwanamke asipotembezewa kichapo anaenda kushitaki kuwa hapendwi, nakupa pole, lakini msepeto ni sehemu ya ndoa, cha kufanya uvumilie, yaani ukienda tu kwenye vyombo vya sheria, na ndoa yako ushaitia doa.
 
Pole sana dada.

Wanaume wanaopiga wanawake wengi wao wana shida kwenye uanaume wao au aina ya malezi waliyopata. Kama sio ana ishu ambayo inampunguzia uanaume wake(kama vile matatizo ya nguvu za kiume,uume mdogo,kuonewa na wanaume wenzake physically);-->Wenye shida hizi huhisi kama vile ili ku-prove uanaume wao(male ego) ambao unakuwa umeshuka kwa kasi ya ajabu, basi ni lazima na muhimu wawanyanyase na kuwapiga viumbe ambao ni dhaifu kwao(wanawake, watoto); Na huwa wanakuwa wakali wakali muda wote bila sababu yoyote ya msingi.

Au utakuta something went wrong wakati wa malezi yake(malezi ya mzazi mmoja,mama yake kunyanyaswa na baba yake mbele yake alipokuwa mdogo, historia ya kuwa sexually abused alipokuwa mdogo, malezi ya kimila ambayo yanasisitiza katika kuwaona wanawake kama sio binadamu au kama vile watoto).

Ni ukale wa kizamani sana kupiga mwanamke karne hii(japokuwa nakubali asilimia 100 kuwa mara nyingine wanawake huwa wana tempt sana uwapige---lakini hii kwa mwanaume wa kawaida asie na shida kisaikolojia atajizuia, na akizidiwa sana atampiga mwanamke kofi moja au mawili; Na sio kufikia extent ya kumpiga hadi kumtoa ngeu)

Do you known what we call temper?
 
pole ila jifunze kidogo kumfanyia vitu vya kumfurahisha wanaume sisi ni wadhaifu ebu tumia passive way utafanikiwa polisi ni ujinga tu utaelekea tarakani..
kwa usema kweli watu wengine ni mtihani sana kuishi nao anataka apewe sifa na utukufu kama mungu
 
In short, mimi niliwahi kumpiga mke wangu but kwa bahati mbaya. Nina tatizo la kushindwa kokontrooo hasira yangu. Short tempered
 
achana na sheria we mvizie usiku kalala mwamshe ile akiitikia tu mdunde na marungu maeneo atakayo umia kirahisi .. ila mlango uwe wazi ukimbie asikukamate .. ila ujiandae kuachika

Is that your best answer?
 
huyu mwanaume anadhani namdharau na hataki nimpinge wala kumrekebisha wala kumshauri kwa lolote analoamua sasa anapoleta hoja tujadili kwa ajili pale mimi ninapoonesha msimamo wangu kutokubaliana naye,mfano anataka kujenga nyumba ya wazaz wake kijijin sasa mimi sikubaliani naye sisi tunaishi town hatuna nyumba tunabanana kweny nyumba za kupanga nikamwambia tujenge ya kwetu then wazazi tutawaboreshea baadae nikampa option nyingine basi we nenda kawajengee wazazi wako na mimi naenda kuwajengea wazazi wazazi wangu tukimaliza program za huko vijijin tutajenga ya kwetu sasa hapo ndo anaona ninamdharau

In short, kwa maelezo yako ungekua umeolewa na mimi, tayari we ni marehemu
 
Back
Top Bottom