Red shadow
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,411
- 1,991
Wakuu nimepima HIV baada ya mwezi na wiki 2 lakini ni negative lakini siamini
Kwanini siamini
1.Nilitumia PEP ingawa nilishachelewa zaidi ya siku tatu (wenge)
2.Mimi ni group 0 hivo kinga kali hivo accumulation ya antibodies za kuonekana kwene kipimo inaweza ika delay
3.Window period ni siku 90
Na vipimo vyetu vya bioline vinadetect had mtu afikishe miezi mitatu
4.kutumia dawa kipindi cha acute phase kinaweza kikachelewesha antibodies kwa kua dawa zinazuia virusi visizaliane kwa kasi
Kifupi nimeona kila dalili ya HIV hivo nishajikatia tamaa
MREJESHO PAGE 107✅