Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Ulichoandika hakieleweki embu tuliza akili ndio ukoment mkuuWewe na yeye nani mpumbavu ? Hilo janga halichagui na halibagui hivyo kuwa mnyenyekevu.
Ulichoandika hakieleweki embu tuliza akili ndio ukoment mkuuWewe na yeye nani mpumbavu ? Hilo janga halichagui na halibagui hivyo kuwa mnyenyekevu.
Kama hauamini,mtafute HIV victim umuombe u-house upige.Acha kuchosha waungwana.Wakuu nimepima HIV baada ya mwezi na wiki 2 lakini ni negative lakini siamini
Kwanini siamini
1.Nilitumia PEP ingawa nilishachelewa zaidi ya siku tatu (wenge)
2.Mimi ni group 0 hivo kinga kali hivo accumulation ya antibodies za kuonekana kwene kipimo inaweza ika delay
3.Window period ni siku 90
Na vipimo vyetu vya bioline vinadetect had mtu afikishe miezi mitatu
4.kutumia dawa kipindi cha acute phase kinaweza kikachelewesha antibodies kwa kua dawa zinazuia virusi visizaliane kwa kasi
Kifupi nimeona kila dalili ya HIV hivo nishajikatia tamaa
Umeanza vzr ukamaliza vibaya , kama huwezi kumshauri kwa hekima ni bora uache , watanzania roho zenu sijui zipoje!!?Ulichoandika hakieleweki embu tuliza akili ndio ukoment mkuu
Kwahiyo unaamini ukitumia KONDOMU uko salama dhidi ya maambukizi ?Ndio hao hao wanakwambia kavu ndio mpango mzima wanapita mpaka lafu road kavu kavu bila mipira
Ulitekenya goma bichi mzee?maisha haya siyo ya kuloweka mbichi kabisa watoto wengi mtaani wameoza ni wagonjwa hao wa 2000s ndiyo balaa.Mkuu nimeota mafunde funde unayajua
Mafua makavu 3 weeks
Vidonda vya koo
daah😂😂Ulitekenya goma bichi mzee,maisha haya siyo ya kuloweka mbichi kabisa watoto wengi mtaani ni wagonjwa hao wa 2000s ndiyo balaa.
Bado kipimo hakijathibitisha hata kama dalili zote zipoFeruzi; Ninao ninao...
Prof. J : subiri vipimo...
ninao ninao..subiri vipimo
nimekumbuka wimbo wa FEEUZI_STAREHE.
kwa Sasa kua mtulivu ukimwi sio mwisho wa ndoto Wala mwisho wa maishaa zingatia pia subiri utimize miezi mi 3 au zaidi hope utakua hauna maambukizi acha hofu.
Hamna sehemu nimeandika group O hawapati ukimwiUlivyo andika group O nimejua tayari wewe ni mpumbavu na hauna uelewa kuhusu Ukimwi. Aliyekuambia Group 0 inaweza kukusaidia usipate HIV ninani
huyu jamaa mmusameheWewe na yeye nani mpumbavu ? Hilo janga halichagui na halibagui hivyo kuwa mnyenyekevu.
Acha woga mi mkware mzoefu ma ex wangu kumi na mwanangu mmoja wametangulia na wife yupo na tiba shufaa Sina chembe ya kirusi na ,'nyagi kama kawa.Wakuu nimepima HIV baada ya mwezi na wiki 2 lakini ni negative lakini siamini
Kwanini siamini
1.Nilitumia PEP ingawa nilishachelewa zaidi ya siku tatu (wenge)
2.Mimi ni group 0 hivo kinga kali hivo accumulation ya antibodies za kuonekana kwene kipimo inaweza ika delay
3.Window period ni siku 90
Na vipimo vyetu vya bioline vinadetect had mtu afikishe miezi mitatu
4.kutumia dawa kipindi cha acute phase kinaweza kikachelewesha antibodies kwa kua dawa zinazuia virusi visizaliane kwa kasi
Kifupi nimeona kila dalili ya HIV hivo nishajikatia tamaa
Naomba kukusahihisha namba 3 hapo.Wakuu nimepima HIV baada ya mwezi na wiki 2 lakini ni negative lakini siamini
Kwanini siamini
1.Nilitumia PEP ingawa nilishachelewa zaidi ya siku tatu (wenge)
2.Mimi ni group 0 hivo kinga kali hivo accumulation ya antibodies za kuonekana kwene kipimo inaweza ika delay
3.Window period ni siku 90
Na vipimo vyetu vya bioline vinadetect had mtu afikishe miezi mitatu
4.kutumia dawa kipindi cha acute phase kinaweza kikachelewesha antibodies kwa kua dawa zinazuia virusi visizaliane kwa kasi
Kifupi nimeona kila dalili ya HIV hivo nishajikatia tamaa
Ukute hao wote umewaambukiza weweAcha woga mi mkware mzoefu ma ex wangu kumi na mwanangu mmoja wametangulia na wife yupo na tiba shufaa Sina chembe ya kirusi na ,'nyagi kama kawa.
Siyo salama sana ila inapunguza uwezekano wa maambukizi japo kwa 40 percent,ushauri ni kuepukana na ngono zembe tatizo vijana wakiambiwa waoe hawataki.Kwahiyo unaamini ukitumia KONDOMU uko salama dhidi ya maambukizi ?
Kumaliza tatizo nikuoa 😁nakuoa napo kuna kuletewa magonjwa , nachoshauri hapa nikupiga maombi ,na kwanini unasema KONDOM INAPUNGUZA NA SIYO KUZUIA KABISA WAKATI NI KINGA , JE KAMA KONDOM HAIJAPASUKA KUNA UWEZEKANO WAKUPATA UKIMWI ?Siyo salama sana ila inapunguza uwezekano wa maambukizi japo kwa 40 percent,ushauri ni kuepukana na ngono zembe tatizo vijana wakiambiwa waoe hawataki.
Jichanganye wewe sasa uoneNi kweli hasahasa vijana wa bodaboda aisee wale jamaa wanajiamini vibaya sana.
Tena utawakuta wanabishana kabisa kwamba hawaogopi waletee mwanamke yeyote muathirika wanapita naye bila kinga ila utashangaa miaka na miaka wapo ngangari hapo ndio mambo ya ukimwi yanapochanganya yaani hayaeleweki
Huyo mwanao umemaanisha mwanao wa kumzaa au msela wako mlikuwa mnapiga wote mande modelize ”three some”?Acha woga mi mkware mzoefu ma ex wangu kumi na mwanangu mmoja wametangulia na wife yupo na tiba shufaa Sina chembe ya kirusi na ,'nyagi kama kawa.
Mkuu,wanawake wenyewe ni hawa vijana wanaookota huko mabarabarani wengine wana vidonda midomoni unakuta wakati wanabadilishana ndimi wakati wa kuzini maambukizi yanapita humo humo.Kumaliza tatizo nikuoa 😁nakuoa napo kuna kuletewa magonjwa , nachoshauri hapa nikupiga maombi ,na kwanini unasema KONDOM INAPUNGUZA NA SIYO KUZUIA KABISA WAKATI NI KINGA , JE KAMA KONDOM HAIJAPASUKA KUNA UWEZEKANO WAKUPATA UKIMWI ?
Labda condom ya Chuma au Bati ila haya manailoni ni Mungu tu hua anaamua ugomvi ila wapo wanaotumia na kitu imoKwahiyo unaamini ukitumia KONDOMU uko salama dhidi ya maambukizi ?