ashomile
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,936
- 3,054
Heri utumie kuliko KAVU.. 😽 watu wanaokwenda kununua wanaojiuza je wanaojiuza ni salama ?Labda condom ya Chuma au Bati ila haya manailoni ni Mungu tu hua anaamua ugomvi ila wapo wanaotumia na kitu imo