Bmw m5
Senior Member
- Oct 20, 2024
- 123
- 184
Yeah, ni kweli hata mm pia kuna situation ilinitokea mwaka janaHuyo ana hofu ili kuiondoa na aamini ameathirika ni bora amtafute aliyelala nae, ukute hana hayo maambukizi anayoyadai yeye .
mwishoni.
Kuna uzi nilileta mwezi wa kwanza mwaka huu, nikaelezea jinsi nilivyokua na hofu..
Nikiwa faragha na huyo bibie ilitokea condm ikapasuka, lakini sikuendelea na game..sasa from there nikawa naishi kwa stress, hadi nilipomcheki wiki mbili baada ya tukio ili tufanye vipimo..
Mimi kwa upande wangu nilipima wiki moja baada ya tukio nikawa negative.
Sasa, nikawa nawaza vp kuhusu yeye, hadi nilipoenda nae kupima na yeye pia akawa negative, hapo ndo nikapata amani kidogo..
kwahyo kuna muda naelewa hii situation jinsi inavyochanganya na kumfanya mtu awe na stress..
Kitu kingine cha kufurahisha ni kwamba ukishakuwa na hofu na baadhi ya dalili nazo hujidhihirisha hahahahaaaa🤣😂😂 kana kwamba ni kweli una ngoma..
Ndo maana ningependa kujua jinsi situation yake ilivyokuwa, hadi akaanza kutumia PEP.