Red shadow
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,411
- 1,991
ipiMental case.
Kuna mwamba humu alikua anasema watu wengi wanaugua ukimwi km hivi ila watu wakambishia stow away alibishana sana na Detective JKifupi nimeona kila dalili ya HIV hivo nishajikatia tamaa
Ili asinase 90 ni miezi 3 kwa hio asubiri miezi 3 apime tena hapo kitu imo washazaliana tayari wahi ARV zako mapemaUmepima kabla ya siku 90 ili iweje?
Hizo story za group O ni za vijiweni tu,unanasa ngoma kama kawaida!
Don't give upKifupi nimeona kila dalili ya HIV hivo nishajikatia tamaa
Anamaanisha yaan unaujua ukimwi mpaka unaanza kujitishia mwenyewe kuna wahuni wanakula kavu halafu vitu wanavyokula ni vibovu balaa ila hawapimi ngwengwe na wala hawawazi ndio kwanza wanaendelea kula bia kula nyama choma kula pombe kali kesho wanavisaka tena vitu vibovu wanazama mpaka uvinza na hawawazi km kuna umeme au luku
Ungeanza kwa kueleza kipi ulifanya hadi unaamini umepata ngoma.Wakuu nimepima HIV baada ya mwezi na wiki 2 lakini ni negative lakini siamini
Kwanini siamini
1.Nilitumia PEP ingawa nilishachelewa zaidi ya siku tatu (wenge)
2.Mimi ni group 0 hivo kinga kali hivo accumulation ya antibodies za kuonekana kwene kipimo inaweza ika delay
3.Window period ni siku 90
Na vipimo vyetu vya bioline vinadetect had mtu afikishe miezi mitatu
4.kutumia dawa kipindi cha acute phase kinaweza kikachelewesha antibodies kwa kua dawa zinazuia virusi visizaliane kwa kasi
Kifupi nimeona kila dalili ya HIV hivo nishajikatia tamaa
Ni kweli hasahasa vijana wa bodaboda aisee wale jamaa wanajiamini vibaya sana.Anamaanisha yaan unaujua ukimwi mpaka unaanza kujitishia mwenyewe kuna wahuni wanakula kavu halafu vitu vinavyokula ni vibovu balaa ila hawapimi ngwengwe na wala hawawazi ndio kwanza wanaendelea kula bia kula nyama choma kula pombe kali kesho wanavisaka tena vitu vibovu wanazama mpaka uvinza na hawawazi km kuna umeme au luku
Yeah angetaja hizo dalili alizoziona ni zipi maana ninavyojua mimi ukimwi dalili zake zinaendana na magonjwa mengine mbalimbali so hakunaga dalili maalumu ya kusema mtu akiwa nayo ndio inathibitisha ukimwiUngeanza kwa kueleza kipi ulifanya hadi unaamini umepata ngoma.
Mi sijasema group O hanasi ila mara nyingi huchelewa kuonekanaUmepima kabla ya siku 90 ili iweje?
Hizo story za group O ni za vijiweni tu,unanasa ngoma kama kawaida!
Wanaishi nao kijemedari sana ndio maana unaambiwa kuna idadi kubwa ya wanaoishi na ukimwi na hawajui km wana ukimwi elewa kutofautisha upungufu wa kinga mwilini na virus vya ukimwi, nazungumzia ukimwi yaan upungufu wa kinga mwilini sio kila mwenye upungufu wa kinga mwilini basi ana virus vya ukimwi tuwekane sawa hapo kwa hio bodaboda hao kinga zao zipo stable zikiteteleka tu jamaa wanaanza shughuli yao CD4Ni kweli hasahasa vijana wa bodaboda aisee wale jamaa wanajiamini vibaya sana.
Tena utawakuta wanabishana kabisa kwamba hawaogopi waletee mwanamke yeyote muathirika wanapita naye bila kinga ila utashangaa miaka na miaka wapo ngangari hapo ndio mambo ya ukimwi yanapochanganya yaani hayaeleweki
Una group O ipi negative au positive?Mi sijasema group O hanasi ila mara nyingi huchelewa kuonekana
Wazee wa kupiga kavu kwa futa jingi au sio? 😄Anamaanisha yaan unaujua ukimwi mpaka unaanza kujitishia mwenyewe kuna wahuni wanakula kavu halafu vitu wanavyokula ni vibovu balaa ila hawapimi ngwengwe na wala hawawazi ndio kwanza wanaendelea kula bia kula nyama choma kula pombe kali kesho wanavisaka tena vitu vibovu wanazama mpaka uvinza na hawawazi km kuna umeme au luku
Kweli una wenge, pamoja na ujuaji wako wote kwamba HIV inakuwa detected baada ya 90 days lakini umeenda kabla ya hizo siku.Wakuu nimepima HIV baada ya mwezi na wiki 2 lakini ni negative lakini siamini
Kwanini siamini
1.Nilitumia PEP ingawa nilishachelewa zaidi ya siku tatu (wenge)
2.Mimi ni group 0 hivo kinga kali hivo accumulation ya antibodies za kuonekana kwene kipimo inaweza ika delay
3.Window period ni siku 90
Na vipimo vyetu vya bioline vinadetect had mtu afikishe miezi mitatu
4.kutumia dawa kipindi cha acute phase kinaweza kikachelewesha antibodies kwa kua dawa zinazuia virusi visizaliane kwa kasi
Kifupi nimeona kila dalili ya HIV hivo nishajikatia tamaa