Yeah, ni kweli hata mm pia kuna situation ilinitokea mwaka janaHuyo ana hofu ili kuiondoa na aamini ameathirika ni bora amtafute aliyelala nae, ukute hana hayo maambukizi anayoyadai yeye .
PEP nilianza kwa kuhisi nimeathirika,,,,kuepuka muendelezo wa dalalili za wazi kama vidonda mdomoni,kikohozi kisichoisha,kupungua uzito nkYeah, ni kweli hata mm pia kuna situation ilinitokea mwaka jana
mwishoni.
Kuna uzi nilileta mwezi wa kwanza mwaka huu, nikaelezea jinsi nilivyokua na hofu..
Nikiwa faragha na huyo bibie ilitokea condm ikapasuka, lakini sikuendelea na game..sasa from there nikawa naishi kwa stress, hadi nilipomcheki wiki mbili baada ya tukio ili tufanye vipimo..
Mimi kwa upande wangu nilipima wiki moja baada ya tukio nikawa negative.
Sasa, nikawa nawaza vp kuhusu yeye, hadi nilipoenda nae kupima na yeye pia akawa negative, hapo ndo nikapata amani kidogo..
kwahyo kuna muda naelewa hii situation jinsi inavyochanganya na kumfanya mtu awe na stress..
Kitu kingine cha kufurahisha ni kwamba ukishakuwa na hofu na baadhi ya dalili nazo hujidhihirisha hahahahaaaa🤣😂😂 kana kwamba ni kweli una ngoma..
Ndo maana ningependa kujua jinsi situation yake ilivyokuwa, hadi akaanza kutumia PEP.
ningemtoa wapMkuu kabla ya kutumia PEP ulimpima huyo bibie uliekutana nae?
kama ni ndio, je majibu yalikuaje?
kama ni hapana kwann ulitumia PEP?
Hizi sio dalili za acute infection. Kwahiyo ulijipa hofu mwenyewe tu.PEP nilianza kwa kuhisi nimeathirika,,,,kuepuka muendelezo wa dalalili za wazi kama vidonda mdomoni,kikohozi kisichoisha,kupungua uzito nk
Twende kwenye pointi. Umeona dalili gani mkuu?Kifupi nimeona kila dalili ya HIV hivo nishajikatia tamaa
Pole sana.Ngoma ipo.WAKUU NIMEONA NIRUDISHE MREJESHO
Uko wapi?WAKUU NIMEONA NIRUDISHE MREJESHO
barUko wapi?
Mrejesho upo bar? Kweli ushalewa.
nimekujibu kulingana na akili yako!Mrejesho upo bar? Kweli ushalewa.
Pole mkuu. Mambo ya kawaida hayo.nimekujibu kulingana na akili yako!
Nitapoteza nguvu zangu nikikupa logic naww
Malizia story yako maana bado hujaimalizia mpaka sasa bado iko njiani , mpaka sasa umegundua nini ?Part3
Kabla ya siku hiyo nilifanya maandalizi yote kama kuwa na ndom na kuwa na vipimo vya HIV kwamba likitokea la kutokea kujihami.
Siku akaja Geto cha ajabu wazo la kumpima na ndomu likapotea Tukajikuta Tumetumbukia hadi asubuhj kwene mchezo.
Hata sikua na wasiwasi kabisa kuna wazo lilinijia kabla ya masaa 72 kupita au nimuite nimpime hyo siku ya pili ili kama anashida nitumie PEP lakini ghafla likapotea na nikasahau.
Baada ya Wiki moja kupita aisee Nilitokwa vipele vinawashwa na ukikuna vinasambaaa.
✅Sijakaa sawa nikatoka vidonda vya koo ambavyo vilidumu mwezi mzima (sina kawaida ya kuugua haya madude)
✅Kikohozi kikavuuu
✅Nikawa naugua mafua kila siku yaan kila baada ya siku mbili hayajapona vizur napata meingine.
✅Kutoka jasho usiku
✅Sijakaa sawa nikapata fungus za korodani ( haya magonjwa nilikuaga naona wenzangu pwan wanaugua
✅Kidogo nikatoka mabaka mgongoni
✅Nikatoka vipele vidogo vidogo shingoni had kwene mabega
Hapa nikaanza kuchanganyikiwa
Basi tangu siku ile vipele vianze nikaenda sehemu nikanunua BIOLINE KIT
NIKAWA NAPIMA KILA SIKU KILA BAADA YA SIKU TATU.
Kwahiyo majibu hujapata mpaka sasa ?Part3

TAREHE 27
Niliamua kwenda Damu salama…..Lengo ni kupata majibu ya kipimo kikubwa maana najua hawa wakikuchukua damu wanapima cha PCR ambacho kinaonesha maambukizi hata ya siku tatu.
Nikaambiwa majibu baada ya wiki 2.
Wiki mbili zikaisha wakaanza kunizungusha majibu yangu
Hofu ikazidi kuongezeka, nikajua labda hawataki kunipa kwasababu Niko positive.
Kwa kua nilikua nawapigia simu wakasema hawatoi kwa njia ya simu.
Na kwenda kuchukua Majibu naogopa🤔
Basi nakumbuka ilikua Sikuku ya Iddi nikasafiri had mkoa niliotoa damu kufika pale wakachukua kadi waoaenda kuangalia.
Ajabu baada ya saa hawakurudi Nikawa najiuliza majibu yana nn mbona mauza uza hivi.
Baada ya saa moja na dk kumi naona mama aliyeenda kuchukua majibu anarudi na mwenzie.
Walikua wakiongea na kujadiliana kitu kabla hawajafika walisimama kupeana maelekezo.
Mimi jasho lilizidi kunitoka…”Kwan wanajadiliana nni mbona kama wanajadiliana majibu yangu?”
Aisee nilitaman nitoroke.
Baadae walikuja pale nilipokaa na wakakaa nao.Dada akaniambia mtandao unasumbua Hivo nimeshimdwa kutoa majibu”
Mmmhh !Nikashusha pumzi”
“Nyie uzinzi nomaa” Hofu yote ile kumbe hata majibu hana.
Kabla sijaja hospital nilijipa majibu kua wananisumbua kwasababu wanaogopa kunipa majibu mabaya kwene simu ,Wiki zima nilijikatia Tamaa na nafika huku wananiambia ishu ya mtandao…..kwa mbali nilipata ahueni kua kile nilichokua nakifikiria siyo chenyewe LAKINI pia nilipata hasira kali kwann had muda ule majibu yangu yalikua hayajatoka kwa visingizio vya mtandao.
Ikumbukwe pia haya majibu ya mtandao mbovu au unasumbua nilikua napewa pia kama kigezo chq kutonipa majibu kwene simu
nimepataKwahiyo majibu hujapata mpaka sasa ?
Shida pressure ilikuwa juunimepata