Bila kumsahau yule star wa nigeria aliyeandika f*ck tanzaniansUkitaka kujua wabongo tuna nongwa waulize Aston Villa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kumsahau yule star wa nigeria aliyeandika f*ck tanzaniansUkitaka kujua wabongo tuna nongwa waulize Aston Villa.
Jobless ninayependwa vilivyo na Mamaako. Siku zingine muwe na Adabu kwani unaweza kujikuta Yule unayemdharau na kumchukia kutwa hapa JamiiForums akawa kumbe ni Babaako wa Kambo.Kwanza niweke wazi Mimi hiyo Instagram huwa natumia zaidi Kwa ajili ya kusoma magazeti Kwa Millard Ayo.
Ila baada ya Mayele kutrend na "majini" yake nimejaribu kupitiapitia account yake na nimeshangazwa na kitu kimoja.
Fiston Mayele NI Mcongoman na Kwa sasa ni mchezaji wa Pyramid ya Masri, lakini kilichonistaajabisha NI post au status zote za Mayele ni za Kiswahili na kifaransa lakini hakuna comments za Wacongo wala za Waarabu, NI Watanzania ndio zimejaa comment zao na shobo kama zote, status ya kifaransa comments za Kiswahili, shame.
Sasa kuna kitu hapa sielewi je ni Sisi Watanzania ndio hatujitambui na hatuna kazi za kufanya au Mayele ana account tofauti tofauti ambayo hii ninayoiona ni Maalum Kwa Tanzania Tu?
Lakini kama jibu ni hapana hiyo ndio official account ya Mayele basi nadiriki kusema Watanzania tujitafakari Sana, tuna zaidi ya tatizo tena hafadhali hata ya Mayele aliyetumia page yake kuandika anachojisikia kuandika.
Jobless imeharibu mifumo ya akili za Watanzania refer to GENTAMYCINE
Huyo Dr Matola PhD ni lazima tu awashwewashwe kunitajataja na Kunichukia kutwa tu hapa JamiiForums, kwani ana Wivu nami kwakuwa napendwa mno na Mamaake, hivyo huenda nae anataka Kumsaidia kwa Kunipenda.Mkuu unamsingizia GENTAMYCINE hayupo huko
Hii Yeremia 1:19 inamuhusu Mwamposa, mnayempiga vita lakini mmeshindwa Mungu yuko naye.Huyo Dr Matola PhD ni lazima tu awashwewashwe kunitajataja na Kunichukia kutwa tu hapa JamiiForums, kwani ana Wivu nami kwakuwa napendwa mno na Mamaake, hivyo huenda nae anataka Kumsaidia kwa Kunipenda.
Yeremia 1:19
Naunga mkono hoja, ukosefu wa ajira umewatengeneza machizi wengi mmojawapo huyo uliyemtaja hapo ni kichaa wa kwenda.Kwanza niweke wazi Mimi hiyo Instagram huwa natumia zaidi Kwa ajili ya kusoma magazeti Kwa Millard Ayo.
Ila baada ya Mayele kutrend na "majini" yake nimejaribu kupitiapitia account yake na nimeshangazwa na kitu kimoja.
Fiston Mayele NI Mcongoman na Kwa sasa ni mchezaji wa Pyramid ya Masri, lakini kilichonistaajabisha NI post au status zote za Mayele ni za Kiswahili na kifaransa lakini hakuna comments za Wacongo wala za Waarabu, NI Watanzania ndio zimejaa comment zao na shobo kama zote, status ya kifaransa comments za Kiswahili, shame.
Sasa kuna kitu hapa sielewi je ni Sisi Watanzania ndio hatujitambui na hatuna kazi za kufanya au Mayele ana account tofauti tofauti ambayo hii ninayoiona ni Maalum Kwa Tanzania Tu?
Lakini kama jibu ni hapana hiyo ndio official account ya Mayele basi nadiriki kusema Watanzania tujitafakari Sana, tuna zaidi ya tatizo tena hafadhali hata ya Mayele aliyetumia page yake kuandika anachojisikia kuandika.
Jobless imeharibu mifumo ya akili za Watanzania refer to GENTAMYCINE
wengine wanatuhumiwa kwa majini wengine wanapigwa faini kwa uchawi na ushirikina michezoni 🐒Kwanza niweke wazi Mimi hiyo Instagram huwa natumia zaidi Kwa ajili ya kusoma magazeti Kwa Millard Ayo.
Ila baada ya Mayele kutrend na "majini" yake nimejaribu kupitiapitia account yake na nimeshangazwa na kitu kimoja.
Fiston Mayele NI Mcongoman na Kwa sasa ni mchezaji wa Pyramid ya Masri, lakini kilichonistaajabisha NI post au status zote za Mayele ni za Kiswahili na kifaransa lakini hakuna comments za Wacongo wala za Waarabu, NI Watanzania ndio zimejaa comment zao na shobo kama zote, status ya kifaransa comments za Kiswahili, shame.
Sasa kuna kitu hapa sielewi je ni Sisi Watanzania ndio hatujitambui na hatuna kazi za kufanya au Mayele ana account tofauti tofauti ambayo hii ninayoiona ni Maalum Kwa Tanzania Tu?
Lakini kama jibu ni hapana hiyo ndio official account ya Mayele basi nadiriki kusema Watanzania tujitafakari Sana, tuna zaidi ya tatizo tena hafadhali hata ya Mayele aliyetumia page yake kuandika anachojisikia kuandika.
Jobless imeharibu mifumo ya akili za Watanzania refer to GENTAMYCINE
Nafurahi sana unavyojibizana nami Baba yako wa Kambo. Sijui kwanini Baba wa Kambo huwa tunachukiwa mno na Watoto Wakubwa wakati Mama zao huwa Wanatupenda sana kutokana na Uwajibikaji wetu katika Uwanja wa Vita nao wa Kibaiolojia.Hii Yeremia 1:19 inamuhusu Mwamposa, mnayempiga vita lakini mmeshindwa Mungu yuko naye.
Wewe mshirikina hiyo aya haiwezi kukuhusu, Mungu hana ushirika na washirikina.
na si ajabu wadaku wamekuzid maendeleo yenyeweWaingereza walituachia tabia mbovu ya udaku, wabingo tunapenda udaku kuliko maelezo. [emoji23]
Ushamba huu ndio umlitoa Samatta EPL , account ya Aston Villa ilijaa comment za kijinga kuhusu MbwanaKwanza niweke wazi Mimi hiyo Instagram huwa natumia zaidi Kwa ajili ya kusoma magazeti Kwa Millard Ayo.
Ila baada ya Mayele kutrend na "majini" yake nimejaribu kupitiapitia account yake na nimeshangazwa na kitu kimoja.
Fiston Mayele NI Mcongoman na Kwa sasa ni mchezaji wa Pyramid ya Masri, lakini kilichonistaajabisha NI post au status zote za Mayele ni za Kiswahili na kifaransa lakini hakuna comments za Wacongo wala za Waarabu, NI Watanzania ndio zimejaa comment zao na shobo kama zote, status ya kifaransa comments za Kiswahili, shame.
Sasa kuna kitu hapa sielewi je ni Sisi Watanzania ndio hatujitambui na hatuna kazi za kufanya au Mayele ana account tofauti tofauti ambayo hii ninayoiona ni Maalum Kwa Tanzania Tu?
Lakini kama jibu ni hapana hiyo ndio official account ya Mayele basi nadiriki kusema Watanzania tujitafakari Sana, tuna zaidi ya tatizo tena hafadhali hata ya Mayele aliyetumia page yake kuandika anachojisikia kuandika.
Jobless imeharibu mifumo ya akili za Watanzania refer to GENTAMYCINE
Hata wewe una shobo ulienda kwenye insta account yake kufanya nini?Kwanza niweke wazi Mimi hiyo Instagram huwa natumia zaidi Kwa ajili ya kusoma magazeti Kwa Millard Ayo.
Ila baada ya Mayele kutrend na "majini" yake nimejaribu kupitiapitia account yake na nimeshangazwa na kitu kimoja.
Fiston Mayele NI Mcongoman na Kwa sasa ni mchezaji wa Pyramid ya Masri, lakini kilichonistaajabisha NI post au status zote za Mayele ni za Kiswahili na kifaransa lakini hakuna comments za Wacongo wala za Waarabu, NI Watanzania ndio zimejaa comment zao na shobo kama zote, status ya kifaransa comments za Kiswahili, shame.
Sasa kuna kitu hapa sielewi je ni Sisi Watanzania ndio hatujitambui na hatuna kazi za kufanya au Mayele ana account tofauti tofauti ambayo hii ninayoiona ni Maalum Kwa Tanzania Tu?
Lakini kama jibu ni hapana hiyo ndio official account ya Mayele basi nadiriki kusema Watanzania tujitafakari Sana, tuna zaidi ya tatizo tena hafadhali hata ya Mayele aliyetumia page yake kuandika anachojisikia kuandika.
Jobless imeharibu mifumo ya akili za Watanzania refer to GENTAMYCINE
Punguza stress, kuna sehemu nimesema kipato cha mtu? Nimezungumzia tabia ya watanzania wengi kupenda udaku..na si ajabu wadaku wamekuzid maendeleo yenyewe
Mayele katupiwa majini😂😁🤣Charles kilian majibu yako tafadhali
🤣🤣🤣Mayele katupiwa majini😂😁🤣
Balaa tupuMayele katupiwa majini😂😁🤣