Mimi Kuna mtu alilipa bill yangu ya maji kupitia benki. Sikuhangaika naye maana alilipa hela ndefu ya miezi kadhaa mbele.Mimi niliwekewaga 400k na bank flani nika kausha 2months. Hawakuitoa nikapita nayo.
Wakaja nicheck baada ya Mwezi mbele nikawaambia ntakua narudisha kidogo kidogo.
Saiv imepita miaka 2
Tumbua kidogo TU ila hakikisha account yake haiendani na mambo ya cheque no.Juzi nimepokea from bank tshs 1m plus....niliziacha labda watachukua ila Kila nikicheki mzigo umo!
Yaani hizi hela zinanifanya nisilale Kwa Amani Kwa tamaa ya kutaka kuzitumia...
Nizitumbue au?
Ps. Sikua nasubiria hela kokote
Unathubutuje kuiogopa fweza😂😂Kwanini mkuu?
Ulirudisha yote ?Mimi niliwekewaga 400k na bank flani nika kausha 2months. Hawakuitoa nikapita nayo.
Wakaja nicheck baada ya Mwezi mbele nikawaambia ntakua narudisha kidogo kidogo.
Saiv imepita miaka 2
Wanatoaga na namba ya simu kama hivyo? Nitoe tongotongo mwenzenu sina account bank..CRDB
Faidika financial servicesHalafu kweli😅😅😅
Bank gani hiyo? Na hiyo namba hapo mmh
Bloangu kuwa na hurumaaaaa,nitaiweka wapi sura yangu mieHahaha. Consult your banker