Nimepokea muamala from bank tangu juzi sijui zilipotoka! Natamani kuzitumbua roho inasita

Nimepokea muamala from bank tangu juzi sijui zilipotoka! Natamani kuzitumbua roho inasita

Wanatoaga na namba ya simu kama hivyo? Nitoe tongotongo mwenzenu sina account bank..
Yes maybe wenye CRDB watasema. Unaambiwa kabisa kama hutambui muamala huu piga hizo number 😃😃😃 au unataka kusema nimetunga hiyo no🏃🏃🚬
 
Naomba unirudishie hiyo hela bloangu nimekosea,ni hela ya kununulia jeneza la marehemu,nimekosa imekuja kwako,nimepata shida sana,ndugu wananisimanga mno,hadi sasa hatujazika
 
hakuna bank inatuma pesa namna hiyo
yaani pesa iingie bila namba ya muamala
kuwa makini matapeli hao...kama huamini angalia salio kama hiyo pesa ipo kwenye account yako
Mzigo umo mkuu
 
Naomba unirudishie hiyo hela bloangu nimekosea,ni hela ya kununulia jeneza la marehemu,nimekosa imekuja kwako,nimepata shida sana,ndugu wananisimanga mno,hadi sasa hatujazika
Hahaha. Consult your banker
 
Back
Top Bottom