Duh noma sanaKuna staff mwenzetu aliingiziwa milion 2, sasa zikapita kama siku tano ile alikuwa ameshaitumia kununulia luxurious things.
Sasa tulikuwa na madai ya takriban mwaka tunayadai ofisi,kumbe ile hela ndo yale madai tumelipwa na jamaa alishapangilia kuwa akipata madai atazitumia kwenye muendlezo wa ujezn, alivokuja kujua aliumia sana.
Jikopeshe ,hiyo hufungwi ukiwa ushatafunaIla mwisho wa siku utakuja kulipa tu
Unaziachaje pesa hizoJuzi nimepokea from bank tshs 1m plus....niliziacha labda watachukua ila Kila nikicheki mzigo umo!
Yaani hizi hela zinanifanya nisilale Kwa Amani Kwa tamaa ya kutaka kuzitumia...
Nizitumbue au?
Ps. Sikua nasubiria hela kokote
mimi waliwekewa 4mil sikuigusaa ila wakaja kuitoa wakanisumbuaa sanaa aiseee baada ya kuja kuweka hela kwenye account ile bila kujua nilishawahi ekewa hela kimakosaNjaa sana tu kesho nazibeba
Kabisa. Benki yako haijaibiwa wala wewe haujaibiwa.Kumbe ungejipugia hamna wa kukufuata
Mrushie JITU BANDIA aibetieJuzi nimepokea from bank tshs 1m plus....niliziacha labda watachukua ila Kila nikicheki mzigo umo!
Yaani hizi hela zinanifanya nisilale Kwa Amani Kwa tamaa ya kutaka kuzitumia...
Nizitumbue au?
Ps. Sikua nasubiria hela kokote
Alete odds tutupie 100k chap chap😋Mrushie JITU BANDIA aibetie
JITU BANDIA njoo hukuAlete odds tutupie 100k chap chap😋
Hatari tajiri mpole! 29M🚀🚀Zinakuwa hivyohivyo mbonaView attachment 2742092
Kuna nini mkuu!? Umeniita fasta hata sijasoma madaJITU BANDIA njoo huku