Nimepokea muamala from bank tangu juzi sijui zilipotoka! Natamani kuzitumbua roho inasita

Nimepokea muamala from bank tangu juzi sijui zilipotoka! Natamani kuzitumbua roho inasita

Kuna staff mwenzetu aliingiziwa milion 2, sasa zikapita kama siku tano ile alikuwa ameshaitumia kununulia luxurious things.

Sasa tulikuwa na madai ya takriban mwaka tunayadai ofisi,kumbe ile hela ndo yale madai tumelipwa na jamaa alishapangilia kuwa akipata madai atazitumia kwenye muendlezo wa ujezn, alivokuja kujua aliumia sana.
 
Duh noma sana
 
Mpk dakika hii mi wangenikuta nna chenchi tu imebaki na ningewapa kiroho safi ila isingezidi buku.
Na wakiuliza ningesema nilijua zimetoka mbinguni
 
mimi waliwekewa 4mil sikuigusaa ila wakaja kuitoa wakanisumbuaa sanaa aiseee baada ya kuja kuweka hela kwenye account ile bila kujua nilishawahi ekewa hela kimakosa
Sasa kama waliitoa why wakusumbue?
 
CRDB hawaandikagi namba ya account. Waoga sana wale.

1000123062.png
 
Nimeangalia hapa nimegundua bank acc yako ni ya mshahara na upo kwenye payroll ya serikali hio uliyopewa ni pesa yako halali ya madeni (arrears) ya mishahara yako/ malimbikizo yako so kuwa na Amani mzee
 
Back
Top Bottom