Nimepokea muamala from bank tangu juzi sijui zilipotoka! Natamani kuzitumbua roho inasita

Bank haijawahi kosea!..... Kama vile Maji yasivyosahau mkondo wake... Jichangange uile!!!.... Utaona moto... Utashtakiwa ama utatakiwa ulipe! hapo ndio Utajua hujui! Na makosa ni yao
 
Kuna wakati watakuja kukudai hiyo hela, kama utakuwa hujaitoa, wataiondoa wenyewe.
Kama utaamua kuitoa basi ifanyie la maana na la kuwajibu ni kuwa ulishaitumia na utakuwa unawalipa kidogo kidogo kulingana na uwezo wako, hawakupangii kiwango cha kurudisha
 
Juzi nimepokea from bank tshs 1m plus....niliziacha labda watachukua ila Kila nikicheki mzigo umo!

Yaani hizi hela zinanifanya nisilale Kwa Amani Kwa tamaa ya kutaka kuzitumia...
Nizitumbue au?

Ps. Sikua nasubiria hela kokote
Wewee hizo toka DPW kukuziba mdomo, mimi nilinunulia bodaboda.
 
Hao ni CRDB na ebu angalia kwa umakini hizo namba za hiyo akaunt. Nahisi siyo zako Ila namba ya sm iliyopokea ujumbe ndo yako. Kwa uthibutisho zaidi piga hiyo namba ni ya CRDB watakupa maelezo.

Usisahau kuleta hapa mrejesho.
 
Hao ni CRDB na ebu angalia kwa umakini hizo namba za hiyo akaunt. Nahisi siyo zako Ila namba ya sm iliyopokea ujumbe ndo yako. Kwa uthibutisho zaidi piga hiyo namba ni ya CRDB watakupa maelezo.

Usisahau kuleta hapa mrejesho.
Nimechiki account hela imeingia kwenye account yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…