Nimepokea taarifa za kuhuzunisha kuhusu bondia Floyd Mayweather

Hivi huwezi kuchangia bila kukejeli na kutukana? Naona mijadala yako mingi imejaa "Umachinoo" mwingi, as if unajua kila kitu wewe.... Mtu anakosoa kistaarabu wewe unamwambia hajielewi! Basi ukianzisha thread comment wewe na ujijibu wewe!! Unanikwaza kweli kweli, sijui wengine wanaonaje huko ila to me!! Hapana... Unaonekana sharobaro saana (Vijana wapenda makuu,na kujiona wao ndo kila kitu)
Anakuja na hoja za kitoto sana sasa mtu kama huyo unafanyaje?

Mtu anayejielewa kweli atathubutu kumlinganisha Floyd na Rigondeux?

Huyo Rigo nina uhakika hata Francis Miyeyusho anamkalisha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Acha tu twende naye hivi hivi maana hatulipwi humu.
Ndo zake, akiweka kitu humu basi asipingwe.. Utasikia, nyamaza wewe hujui kitu... Hujielewi wewe tulia... Hakuna unalolijua wewe (tusi)...

Mpaka lini sasa, kama vipi Mods wawe wanapitia pitia na comments. Mtu kumwambia hajielewi kwenye mjadala huru ni kumkosea heshima saana!! Na hapo hajaja na habari za kina Diamond na Ali Kiba na zile za magazeti ya Udaku, anaandika utadhani alikuwepo chumbani!!

Pathetic
 
Sasa kama huyu usiombe muwe gym halafu unafanya zoezi unakosea ye awe anajua unaweza ukahama gym.

Atampa habari kila mdau mwanzo mwisho na utaimbwa hadi session nne za mbele
 
Ndo zake, akiweka kitu humu basi asipingwe.. Utasikia, nyamaza wewe hujui kitu... Hujielewi wewe tulia... Hakuna unalolijua wewe (tusi)...

Mpaka lini sasa, kama vipi Mods wawe wanapitia pitia na comments. Mtu kumwambia hajielewi kwenye mjadala huru ni kumkosea heshima saana!! Na hapo hajaja na habari za kina Diamond na Ali Kiba na zile za magazeti ya Udaku, anaandika utadhani alikuwepo chumbani!!

Pathetic
Karibu Jamii Forums
 
Wacha atafute ela aya mambo ya heshima hayana nafasi ulimwengu wa leo.Pesa ndo kila kitu.
 
Kwa hili la kusema atakua amepigwa na mzoefu sikatai, same iliapply kwa Mohamed Ali na Sony Liston, na Athony kwa Klitschiko
Hata Carnelo Alaves alifiwa kwamba atamchapa GGG eti kisa Carmelo amepoteza pambano moja tu nalo ni kutoka kwa Floyd Mayweather, wakisahau kuwa GGG yy hajawah kupigwa kabisa. Huwa nakeleka sana eti "only his defeat came from Mayweather". Huyu May weather wao amekuwa Overrated sana.
 
Hivi uliziona zile seven combinations za kichwa alizopigwa GGG???

Uimara wake tu ulimuokoa bila hivyo angepigwa K.O
 
Hahaha mkuu huko ufc ataenda kufa cz kule ni mangumi na mateke lakini naomba niseme tu floyd yupo vizuri sana kwenye ngumi lakini kwenye mateke na wepesi macregor yupo fiti sana kwa ufc floyd kumpiga macgregor ni ndoto
Usanii ule ule utaendelezwa, utashangaa Floyd kashinda.
Macgregor kaonjeshwa pesa inavyotengenezwa anachonga mzinga.
 
Hakuna bondia asiyekuwa na ndoto ya kumkalisha Floyd.

Kila mmoja anataka kutengeneza pesa na jina kwa kupata angalau sare na Floyd Mayweather.
 
Mimi nikiri wazi sio mjuaji sana wa boxing ila nikiangalia mapambano anayoshiriki Floyd pamoja ya kuwa anashinda ila jamaa ni over rated hayupo kivile na binafsi naona maigizo tu tofauti na nikiangalia mapambano kama ya Anton Joshua lazima ntafute pop corn nikijua naangalia boxing haswa
 
Umeshasema hujui chochote kuhusu boxing kwa hiyo sio kosa lako.
 
Hakuna bondia asiyekuwa na ndoto ya kumkalisha Floyd.

Kila mmoja anataka kutengeneza pesa na jina kwa kupata angalau sare na Floyd Mayweather.
Kwa uzito huo wa unyoya, kwanza May hapigani ananunua mapambano basi. Full biashara si ngumi.
 
Hivi uliziona zile seven combinations za kichwa alizopigwa GGG???

Uimara wake tu ulimuokoa bila hivyo angepigwa K.O
Mkuu nimegundua kwel we ni shabiki mkubwa wa May weather..... Hahahaaaa kwa hyo GGG overall point ungekuwa refa ungemnyima?
 
Floyd mtoto wa mtaan yule acha akajichanganye, ila mkwanja ndio umempeleka kule
 
Back
Top Bottom