Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #81
Anakuja na hoja za kitoto sana sasa mtu kama huyo unafanyaje?Hivi huwezi kuchangia bila kukejeli na kutukana? Naona mijadala yako mingi imejaa "Umachinoo" mwingi, as if unajua kila kitu wewe.... Mtu anakosoa kistaarabu wewe unamwambia hajielewi! Basi ukianzisha thread comment wewe na ujijibu wewe!! Unanikwaza kweli kweli, sijui wengine wanaonaje huko ila to me!! Hapana... Unaonekana sharobaro saana (Vijana wapenda makuu,na kujiona wao ndo kila kitu)
Mtu anayejielewa kweli atathubutu kumlinganisha Floyd na Rigondeux?
Huyo Rigo nina uhakika hata Francis Miyeyusho anamkalisha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]