Nimepokea ujumbe huu kutoka kwa mpenzi wangu wa utotoni..nimjibu nini?

Nimepokea ujumbe huu kutoka kwa mpenzi wangu wa utotoni..nimjibu nini?

Habari zenu walipa kodi wenzangu.
Nanukuu nilichoandikiwq na huyu mrembo wa kisambaa.

"To you the love of my life"
You are just what I dreamed,my sweetheart would you be my valentine?
Nimjibu nini asa hapa?
Be sasa
 
Kama hajaolewa muite getho mzungumze kikubwa saw
 
Back
Top Bottom