[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukijipima unajiona unastahili zawadi?
Umewahi kuiona ila sanama ya Askari pale city centre?
Yenyewe pia kuna iliahidiwa ndiyo inakisubiri.
Juzi kati hapo nilimsanua mwana aliyekuwa akielekezwa machinjoni maana kapitia humo humo!!Juzi bhana kuna pisi ya kizungu iliniomba urafiki facebook, nikakubali tukawa tunachat akaniomba namba ninayotumia WhatsApp nikampa mtoto anasema ananitumia zawadi za simu na laptop.
Sasa hivi hapa nasubiri siku zikifika ataniamba.
Sisi wengine tulishawazoea, tunawakubalia urafiki alafu unabaki kumdeku tu kwa sauti ya Magu "Aiiiiiii"🤣🤣🤣Mwezako anaona amepata kumbe amepatikan
Mi naona hilo jina aliamua tu kujiita tu🤣🙌 Haya Mambo yameanza kitambo sana tangia 2008 kwenye email now wamehamia FB, wanaangalia pics zako na kukuthaminisha huyu atakuwa njema huyu ngoja tumchekeche..😃😃Carleen nakuona kwa mbalii unam-zoom wakili msomi anataka kula za uso haumshitui.
Muonee huruma japo kidogo.
Unaenda kupigwaJuzi bhana kuna pisi ya kizungu iliniomba urafiki facebook, nikakubali tukawa tunachat akaniomba namba ninayotumia WhatsApp nikampa mtoto anasema ananitumia zawadi za simu na laptop.
Sasa hivi hapa nasubiri siku zikifika ataniamba.
Napenda dezo inaonekana 🤣🤣🤣Sisi wengine tulishawazoea, tunawakubalia urafiki alafu unabaki kumdeku tu kwa sauti ya Magu "Aiiiiiii"🤣🤣🤣
Ahaa dogo alitumiwa mapicha picha ya vitu pamoja na picha ya parcel iliyokwama Nairobi tena alisisitizwa afanyemchakato fasha kuna $1000 mdhungu kaeka humo humo kwenye bahasha.Hapa utaletewa story ya West union utume hela😃😃😃
Mimi kuna moja iliweka vitu viiingu et ananitumia akaja kuniacha hoi sijui 1000 kiloGrams of Gold😂
Nlikuwa Olevel lakini hapo kwenye 1000kg of gold akili iligoma kabisa
Akapokee mzgo nairobiTarget acquired, i repeat target acquired..
Be carefulJuzi bhana kuna pisi ya kizungu iliniomba urafiki facebook,rere nikakubali tukawa tunachat akaniomba namba ninayotumia WhatsApp nikampa mtoto anasema ananitumia zawadi za simu na laptop.
Sasa hivi hapa nasubiri siku zikifika ataniamba.