Nimeponyeka kutapeliwa na rafiki wa facebook

Nimeponyeka kutapeliwa na rafiki wa facebook

Ukijipima unajiona unastahili zawadi?
Umewahi kuiona ila sanama ya Askari pale city centre?
Yenyewe pia kuna iliahidiwa ndiyo inakisubiri.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Juzi bhana kuna pisi ya kizungu iliniomba urafiki facebook, nikakubali tukawa tunachat akaniomba namba ninayotumia WhatsApp nikampa mtoto anasema ananitumia zawadi za simu na laptop.

Sasa hivi hapa nasubiri siku zikifika ataniamba.
Juzi kati hapo nilimsanua mwana aliyekuwa akielekezwa machinjoni maana kapitia humo humo!!
Mtoto wa Kizungu kadai eti anataka fungua store bongo so kamtumia dogo kinachoitwa sample ya bidhaa, mara ohoo mzigo unaishia Nairobi so jipange kuugharamia.
Baada ya siku 1 jamaa akaendewa inbox na namba ya Kenya eti mzigo wake umefika JK airport so atume 100K safarcom ili wailete JNIA.
Uzuri ni kwamba alipitia home kwangu nikamdodosa huyo mdhungu kamuokota wapi ? Jibu ni FB ndio nikamwambia Lete hiyo simu a'f we kaa hapa uone mchezo😀😀.
Si ndo nikachat na yule mwenye namba ya Kenya kumwambia atume tufanye pay in delivery akagoma hadi itumwe hela ndio mzigo upakiwe kwenye mwewe.
Nikaachana naye na kumgeukia mdhungu atupe tracking number jibu lake lilikuwa "waulize jamaa wa Nairobi", but kuwauliza nao wakajibu muulize mtumaji baada ya hapo Mkenya akamblock dogo na mdhungu eti asitafutwe Yuko Bize Yuko bize
Hadi hapo dogo alibaki kushukuru maana kipigo kilikuwa nje nje
 
Atakutumia mapicha picha, ukiingia kwenye 18, unalipia gharama
 
Carleen nakuona kwa mbalii unam-zoom wakili msomi anataka kula za uso haumshitui.
Muonee huruma japo kidogo.
Mi naona hilo jina aliamua tu kujiita tu🤣🙌 Haya Mambo yameanza kitambo sana tangia 2008 kwenye email now wamehamia FB, wanaangalia pics zako na kukuthaminisha huyu atakuwa njema huyu ngoja tumchekeche..😃😃
 
Juzi bhana kuna pisi ya kizungu iliniomba urafiki facebook, nikakubali tukawa tunachat akaniomba namba ninayotumia WhatsApp nikampa mtoto anasema ananitumia zawadi za simu na laptop.

Sasa hivi hapa nasubiri siku zikifika ataniamba.
Unaenda kupigwa
 
mda wowote kutoka sasa anakwenda kupigwa mtu kitu kizito chenye ncha kali kichwani
 
Hapa utaletewa story ya West union utume hela😃😃😃

Mimi kuna moja iliweka vitu viiingu et ananitumia akaja kuniacha hoi sijui 1000 kiloGrams of Gold😂

Nlikuwa Olevel lakini hapo kwenye 1000kg of gold akili iligoma kabisa
 
Ahaa dogo alitumiwa mapicha picha ya vitu pamoja na picha ya parcel iliyokwama Nairobi tena alisisitizwa afanyemchakato fasha kuna $1000 mdhungu kaeka humo humo kwenye bahasha.
 
Juzi bhana kuna pisi ya kizungu iliniomba urafiki facebook,rere nikakubali tukawa tunachat akaniomba namba ninayotumia WhatsApp nikampa mtoto anasema ananitumia zawadi za simu na laptop.

Sasa hivi hapa nasubiri siku zikifika ataniamba.
Be careful
 
Back
Top Bottom