Nimeponyeka kutapeliwa na rafiki wa facebook

Nimeponyeka kutapeliwa na rafiki wa facebook

Juzi bhana kuna pisi ya kizungu iliniomba urafiki facebook, nikakubali tukawa tunachat akaniomba namba ninayotumia WhatsApp nikampa mtoto anasema ananitumia zawadi za simu na laptop.

Sasa hivi hapa nasubiri siku zikifika ataniamba.
Utatapeliwa wewe
 
Kila mtu kakusanua ili usitapeliwe , ila mimi nakushauri komaa na mzungu upate zawadi zako, kuna mda ili ulijue jambo kiundani zaid inabidi uwe kwenye field area kabsa , ukiambiwa kwa mdomo ukaacha hautajua yupi ni mkweli kati ya wanazengo au mzungu wa fb , mwisho wa sku utakuja kupigwa kivingne.
Take risk if you win, you become a winner if you loose yo become a wiser
FB_IMG_16887066119025153.jpg
 
Juzi bhana kuna pisi ya kizungu iliniomba urafiki facebook, nikakubali tukawa tunachat akaniomba namba ninayotumia WhatsApp nikampa mtoto anasema ananitumia zawadi za simu na laptop.

Sasa hivi hapa nasubiri siku zikifika ataniamba.
Hivi wewe hujawahi kusikia kitu kinachoitwa online scam? Hivi jiulize umefanya nini kwake kiasi cha kumfanya aamue kukutumia zawadi zote hizo?
 
Take care ukiwa kolo utaingizwa kwenye porno sex bila kujua na utakuja unarekodiwa bra kujua
 
Kuna jamaa yangu alishanifata mara 2, ya kwanza zana za kilimo, nakumbuka kuna profesa ua SUA alikaangwa 11 mil na hii mambo, jamaa walianza naye akiwa sua wakamleta mlimani city .
Juzi kaja kuna mzungu anatafuta vituo vya watoto yatima atoe msaada kamtumia jaamaa hadi tiketi ya ndege atafika znz then aje mwanza yeye jamaa akamchukue na gari waje alipo wasaidie yatima, mwisho jamaa aliombwa hela ikabidi achimbe

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
akikuomba hela ya kutuma mzigo. utajua hujui.... zawadi ya ghaflaaa tuu.... 😂😂😂😂😂😂
 
Juzi bhana kuna pisi ya kizungu iliniomba urafiki facebook, nikakubali tukawa tunachat akaniomba namba ninayotumia WhatsApp nikampa mtoto anasema ananitumia zawadi za simu na laptop.

Sasa hivi hapa nasubiri siku zikifika ataniamba.
Huyo ni mnaijeria(nigerian) anataka kukuingiza chaka. Utalia sasa hivi
 
Juzi bhana kuna pisi ya kizungu iliniomba urafiki facebook, nikakubali tukawa tunachat akaniomba namba ninayotumia WhatsApp nikampa mtoto anasema ananitumia zawadi za simu na laptop.

Sasa hivi hapa nasubiri siku zikifika ataniamba.
Ukijipima unajiona unastahili zawadi?
Umewahi kuiona ila sanamu ya Askari pale city centre?
Yenyewe pia kuna kitu iliahidiwa, ikaambiwa isiondoke iendelee kulinda wakati inasubiri, ndiyo ipo inakisubiri hadi leo
 
Back
Top Bottom