Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
KabisaWaongo ilishanikuta siku wakituma watakwambia ndege inaishia Ghana hivo atakwambia yeye yuko bize na amemkabidhi rafiki yake akuletee huo mzigo na huyo rafiki atakwambia amepungukiwa pesa na hivo ongezea pesa ya kutuma mzigo kutoka Huko Ghana[emoji23]
Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app