Mimi nana WhatsApp mbili moja natumia namba ya Tz moja Kenya Sasa datail zangu za Fb nimewekaga tz. Waliniomba urafiki tukachat akaomba namba ya WhatsApp nikampa ya Kenya nikamwambia mimi nipo Kenya baada ya siku mbili akanitumia air ticket ikionyesha Kuna pasel yangu imetumwa tz KIA maana ndege hiwezi fika Kenya Kuna emergency so wakasema nitume Ela ili pasel isafirishwe Tena kuja Kesha niipoke nilivyo muhuni na mm nikawaambia nipo Tz na picha ya uwanja wa ndege nikawatumia nikawaaambia nimeshasafi toka Kenya kufata mzigo wangu Tz wakanilamba block