Nimeponyeka kutapeliwa na rafiki wa facebook

ahaaaa kumbe eheee wazungu nao matapeli asante mkuu
 
Hao majamaa washajua wtz wanapenda mtelezo wanakuja kwa gia hiyo mwisho unaambiwa mimi hela haijatosha kama laki tatu na mzigo upo hapa uwanja wa ndege lipia basi na unatumiwa picha kuna pasi laptop TV iPhone na vitu vingine vya thaman ww kivile pangu pakavu tia maji utaenda hata kukopa ili ukamilishe muhamala ukishalipa wasp ajibu ana View sms zako akikuonea huruma sana anakujibu kwa emoj za vicheko haswa ila uamuzi ni wako
 
aisee
 
akiniambia nitume hella namkacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…