Nimepooza kiuno hadi chini, msaada tafadhali

Dr anategemea vipimo kutoa majibu.
Majibu uliyopewa ni sahihi kabisa.
Ni kweli uyasemayo lakini (kwa maelezo ya wataalamu wa afya) MRI ndiyo kipimo cha kuaminika zaidi ktk utabibu mbona sasa huyu mgonjwa wangu alifanyiwa hicho kipimo kikasema hana shida huku yeye akiwa na maumivu makali kiasi alikuwa hawezi kulala usiku kwa maumivu?

Na huku anakotibiwa anaendelea vizuri unaweza kuniambia kwanini doctors kupitia vipimo stahiki vilivyoidhinishwa waseme hana shida hali ya kuwa ana shida na anaenda kupona sehemu ambayo hata haikutegemewa?
 
Dejane hajamdhihaki mtoa mada, ameuliza kwa ni ya kujua ili aelimike.
Tupunguze kupanic,
Sasa matusi hayana msaada wowote ule

Na kaka kanijibu vizuri tu wala hakakasirika na nimemuelekeza ila sasa wazaz wa jf wametokwa povu kweli nilikuwa na maana yangu maana hakusema wapi kapooza
 
Naomba CHIZI VITABU nisaidie jibu kwa ufupi maisha na nguvu inayotuongoza(kama ipo( ipojepoje, hata PM ikibidi. Usiache, muhimu sana. Je ni namba A. 1-2? au ni zaidi B. 2-4? Maana ujinga wangu unaniambia mostlikely ni A. Naomba tudemystfy
 
Msaada jamani mwezi wa sita huu nimefanya matibabu ya kila aina, hospital paliponifilisi na mri scan, dawa za asili na kisuuna hadi maombi.

Nakata tamaa sasa
Pole sana Mkuu.
Usikate Tamaa, endelea kuomba hadi utakapopata majibu.
Mungu hawahi wala hachelewi.
Uponyaji ujapokawia ungoje.
 
Soma hapa mkuu nimeandika kwaajili yako huu uzi.


 
Niulizie huyo jamaa anakaa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…