Namfahamu dogo mmoja akiwa na umri around miaka 10 alipata a minor accident.
Tembeaji yake ikawa ya shida kupita maelezo kupelekea kufikishwa hospitali. Vipimo vyote MRI, X-ray vilisemekana kutoa majibu kuwa hakuwa na shida yoyote mwilini.
Ilikuwa hadi Consultant Physician - beberu aliyekuwapo alipoamua kuchukua bakora na kutaka kumcharaza kibazazi ndipo dogo alipotimua mbio kuliko mtu mwingine akitokomea kuondoka hospitalini hapo. 🤣🤣
Huyo ukawa mwisho wa ugonjwa wa dogo.
Hii mambo ya magonjwa wakati mwingine huwa kuna siri kubwa.
Jeshini wakiita malingering.