The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Ni kweli uyasemayo lakini (kwa maelezo ya wataalamu wa afya) MRI ndiyo kipimo cha kuaminika zaidi ktk utabibu mbona sasa huyu mgonjwa wangu alifanyiwa hicho kipimo kikasema hana shida huku yeye akiwa na maumivu makali kiasi alikuwa hawezi kulala usiku kwa maumivu?Dr anategemea vipimo kutoa majibu.
Majibu uliyopewa ni sahihi kabisa.
Na huku anakotibiwa anaendelea vizuri unaweza kuniambia kwanini doctors kupitia vipimo stahiki vilivyoidhinishwa waseme hana shida hali ya kuwa ana shida na anaenda kupona sehemu ambayo hata haikutegemewa?