Nimepooza kiuno hadi chini, msaada tafadhali

Umepinga mpaka umesahau kushauri.
Kweli. Nilitaka kusema aone namna ya kuishi na hali yake, na hiyo pesa anayofirisiwa na MRI etc imuwezehe kuishi maisha comfortable. Magonjwa kama haya jambo zuri sana ni kujielimisha kuyahusu kadri unavyoweza. Kuishi nayo, matibabu yake na changamoto zake.
 
Msaaada jamani mwezi wa sita huu nimefanya matibabu ya kila aina,hospital paliponifilisi na mri scan,dawa za asili na kisuuna hadi maombi
Nakata tamaa sasa

Sky Eclat huyu ndugu anaweza hitaji busara za waungwana kama ninyi au connections.

Nani ajuaye?

"Kizuri kula na nduguzo." --- JK.
 
Nimekupata mkuu!

Tueleweni. Hatufurahishwi na bei za hospitali kwa NHIF. Hatufurahishwi na janja janja za hospitali kwa NHIF. Hatufurahishwi NHIF kuwa kama conduit tu ya kuchukulia pesa tokea kwa watu kwenda kusikojulikana.

Kwa hakika hii kiroho safi tu. Kwanini sisi ikatuume Hivi wakati NHIF wanaolipa wao wako kimya tu?
 
Msaaada jamani mwezi wa sita huu nimefanya matibabu ya kila aina,hospital paliponifilisi na mri scan,dawa za asili na kisuuna hadi maombi
Nakata tamaa sasa
Pole sana .yesu akusaidie pambana usichoke bila kukata tamaa. Tulimuuguza mtu wakaribu for almost six years now amepona lakin ni maombi na mazoez na dawa zisizoisha
 
Yeah sometimes ugonjwa ni psychology ya mtu tu.

Psychological Mechanisms That Exacerbate Motion Sickness.
 
Msaaada jamani mwezi wa sita huu nimefanya matibabu ya kila aina,hospital paliponifilisi na mri scan,dawa za asili na kisuuna hadi maombi
Nakata tamaa sasa
Asubuhi ukiamka kinywa maziwa ya moto yaliyochanganywa na binzari na siku pia,please achana na soda,
 
Kaka yangu Huwa anatibu watu waliopooza, ukiona inafaa nikupe namba yake umweleze tatizo lako.
 
Duh pole sana aisee
MRI scan iko expensive… sorry vilianzaje anzaje? Ni kihosp au kidunia 🥹

Ulifanikiwa kufika Rabinnsia hosp?
Sijui kwanini uwa nina imani na kitengo cha mifupa Rabinnsia.

Mungu akuponye
Sababu hujawahi vunjika na kupelekwa MOI rufaa kutoka hapo Rabininsia
 
Dr anategemea vipimo kutoa majibu.
Majibu uliyopewa ni sahihi kabisa.
 
Dejane hajamdhihaki mtoa mada, ameuliza kwa ni ya kujua ili aelimike.
Tupunguze kupanic,
Sasa matusi hayana msaada wowote ule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…