Nimepooza kiuno hadi chini, msaada tafadhali

Nimepooza kiuno hadi chini, msaada tafadhali

Soma hapa mkuu nimeandika kwaajili yako huu uzi.

Mkuu asante. Hawa wa Mwanza nawapataje nikifika Mwaloni. Wanatumia jina gani
 
Asante mkuu. Nawezaje sasa kutofautisha kati ya Mungu kunijaribu na shetani kuwa kazini
Okay mkuu, shetani anakuamrisha mambo machafu na maovu hayo ndio majaribu yake na aliyekuumba anaweza kukujaribu kwa majanga au kwa neema pia, makusudio ni upate kumshukuru kwa neema au umnyenyekee yeye peke yake wakati wa shida.

"Kila nafsi itaonja mauti na tunakujaribuni kwa mitihani ya shari na ya kheri, na kwetu sisi tu mtarejeshwa."
Qur'an 21:35
 
Ni kweli uyasemayo lakini (kwa maelezo ya wataalamu wa afya) MRI ndiyo kipimo cha kuaminika zaidi ktk utabibu mbona sasa huyu mgonjwa wangu alifanyiwa hicho kipimo kikasema hana shida huku yeye akiwa na maumivu makali kiasi alikuwa hawezi kulala usiku kwa maumivu?

Na huku anakotibiwa anaendelea vizuri unaweza kuniambia kwanini doctors kupitia vipimo stahiki vilivyoidhinishwa waseme hana shida hali ya kuwa ana shida na anaenda kupona sehemu ambayo hata haikutegemewa?
Sababu umeamua kuchagua upande endelea hivyo hivyo
 
Wanatibu kienyeji

Maan na mzee wangu ana stroke
Walimpa dawa na kumpiga sindano......nyumbani akawa anatumia dawa,kumchua na kumfanyisha mazoez Kwa kumpitisha kwenye umande wa early morning
 
Sababu umeamua kuchagua upande endelea hivyo hivyo
Hujanijibu kama nilivyotegemea but kama ulivyosema ngoja niendelee kukomaa huku tuone mwisho wake,na usichukulie kama nimewadharau matabibu wetu hasha!!!
 
Hujanijibu kama nilivyotegemea but kama ulivyosema ngoja niendelee kukomaa huku tuone mwisho wake,na usichukulie kama nimewadharau matabibu wetu hasha!!!
Labda kama una account mbili lkn kwenye post #217 umeni quote wkt mimi kwa huu uzi sijajibu hata hoja yako moja.
 
Labda kama una account mbili lkn kwenye post #217 umeni quote wkt mimi kwa huu uzi sijajibu hata hoja yako moja.
Sorry sana nilikusudia nim-quote HIMARS natumia browser so hata sijui kimetokea nini maana alichoandika jamaa nakiona kwenye quote niliyofanya na kinasomeka alichonijibu mimi.
 
Back
Top Bottom