Nimepotea naona giza kwa hii anasa

Nimepotea naona giza kwa hii anasa

Chunguza kabla ujaongea sana au kuropoka, kuna ma Sheikh, walimu wa dini wanaswali mpaka wanapepesuka, wanalawiti watoto wa Madrasa.
ukimkuta shee kajinyonga nawewe utajinyonga kwakuwa ni shee. dini haiko hivyo maana ya dini ni kukatazana mabaya na kuamrishana mema sio shee anazini na wewe uzini dini haiko hivyo
 
Habari Wana Jamvi,nahitaj Msaada Wenu Naona Kiza Nimepotea Kwenye Msitu Wenye Giza Na Mbwa Mwitu Wakali. Mimi Ni Kijana Below 25 Years,nimefanikiwa Kukwepa Anasa Zote Lakin Nimejikuta Nadumbukia Kwenye Uraibu Wa Kununua Madada Poa.

Kama Kijana Mwenye Heshima Mtaani Nisiyeacha Ibada(swala Tano) Nimeshindwa Kuwakwepa Madada Poa Tena Wa Bei Kdogo Elfu 50,70 Kwa Mwezi Naweza Nunua Hata 2 Au Nikijizua Sana Mmoja Na Huwa Sinunui Wa Bei Rahc.Naumia Sana Kwanza Na Hii Tabia Pili Kupoteza Pesa Tatu Napoteza Heshima Yangu Binafsi Ingal Huwa Nanunua Mbali Na Eneo Wanaonijua Naona Kama Nina Nidhamu Ya Uwoga Naonesha Heshima Kwa Watu Ikifika Usiku Nakuwa Fisi.

Pesa Yangu Haifany Maendeleo Zaid Ya Hyo Anasa. Sivuti Bangi,sigara Wala Pombe. Naomba Kusaidiwa Kuachana Na Hii Tabia Nateseka Sina Amani Ya Moyo.Nipo Kwenye Stage Ambayo Nisiponunua Malaya Ndani Ya Mwezi Naanza Kama Kuumwa Basi Ntakopa Pesa Ili Nikanunue.

Ni Kipindi Cha Mwaka Mmoja Na Nusu Tangu Nianze Kununua Nishalala Na Wanawake 13 Au 14,kuna Kpind Niliacha
Malaya 13 au 14 unasema umekuwa malaya?, kuna watu wamekubuhu ww!
 
You need spiritual healing
 
Kwa nini usitongoze mwanamke awe mpenzi wako (najua mtafanya mapenzi nje ya ndoa), lakini ni bora nusu shari kuliko shari kamili...

Ulipoanza tu kununua malaya wa kwanza, nafsi yako ilitekwa utumwani na sasa imeshikiliwa na pepo/jini linalohusika kucontrol mwanadamu kwenye habari za ngono za rejareja...

Ungekuwa mkristo ningekuambia jiweke karibu na maombi na maombezi ila kwa kuwa ni ustaadh labda utafute namna inavyofanyika msikitini kwa watu waliovamiwa na pepo wachafu...
 
Unajua uzito wa dhambi ya kuacha Swala? Mnasihi ache zinaa apambane na nafsi yake. Kwa namna yoyote usimnasihi aache Swala.
anapoenda katika zinaa mungu anamuona ila yeye anawaogopa watu wa mtaani kwake anajiheshimu ila hamuogopi muumba wake wala hamjali na ndio anaemuona inamaana ibada kwake ni sawa na kusema kuna mtu nyuma ya pazia
 
Maturity is the only things that will deliver u from that destructive behavior.

As more u mature, u will realize some bullshits should be left.

Watu wanaonunua ngono wanakuwa forced na Mitandao kwa asilimia kubwa.

1.pornographic/zile sites pemdwa

2.Twitter(X) Kuna pornographic si mchezo

3. Wadada wa Instagram wenye makalio makubwa. Hasa states, sauzi. Ukiwa follow.

Jizuie hayo mambo uone kama utatamani dadapoa.

Halafu inabidi upate UTI SUGU, GONO, KASWENDE, Zikuchachafye kweli kweli ndio utajua utamu na uchungu wa hizi mbanga.
 
Ndio tumnasihi amuogope Mola wake. Ila hatumuambii ache kuswali.
hakuambiwa aache kuswali nimesema aache moja wapo aache zinaa afanye ibada ama aache ibada aendelee na zinaa nikiwa nafahamu na hata kwa yeyote yule nilazima atajua njia ni ipi na hakuna njia nyingine zaidi yakucha zinaa na kufanya ibada na kufunga sunna zake na m.mungu ni mwenye huruma na kusaheme kwa wenye kutubia
 
unaswali kisha unazini na zinaa ni mbaya sana tumeamrishwa tusiikurubie kabisa maana inaleta ufukara nakushauri oa ikiwa huwezi funga j.3 na alkhamis maana usimchezee muumba wako leo unazini unapata dhambi maana umemkosea muumba wako kisha unaswali upunguza madhambi hakuna kitu kama hicho amua tubu na uache ama uendelee na zinaa uache kuswali maamuzi ni yako nchi haina dini ila wananchi wanadini
Wapo viumbe waliumbwa hawamkosei mungu wao . sisi ni binadamu.
 
Back
Top Bottom