Nimepotea naona giza kwa hii anasa

Nimepotea naona giza kwa hii anasa

Mkuu, baki huko huko, mahusiano yanatesa sana, ndoa ndo janga kubwa sana mtaani

Kumbuka: Kila mwanamke anafanya biashara ya ukahaba isipokuwa mama yangu. Sema system ya malipo ndo inatofautiana

Pia, ndoa ni utapeli
 
Kwanza pole kwa hiyo changamoto ya kushindwa kuiacha hiyo tabia. Pili inaonekana kwako hiyo ni tabia mbaya na ndiyo maana inakuumiza kila wakati na kutamani kuiacha.

Kwa kawaida ukiona kuna jambo unalifanya halafu baada ya kulifanya unajutia basi jua hilo jambo ni baya kwako siyo kwa watu wengine, kwako wewe.

Unaweza kuachana na hiyo tabia kama utafanya yafuatayo kwa kumaanisha kutoka akilini mwako na moyoni. Zingatia, maanisha akilini na moyoni. Kama kimojawapp kati akili hakipo basi kuna uwezekano mkubwa wa kuendelea na huo ulevi.

Fanya maamuzi magumu. Maamuzi ya kuacha hiyo tabia kwa dhati ndiyo njia pekee ya wewe kuachana na hiyo tabia. Amua kuanzia leo hii tarehe 02/11/2023 kuwa hutanunua tena ngono na badala yake amua kuoa au kuwa na mpenzi mwenye msimamo, anayehiheshimu, na ambaye utasumbuka kumtongoza na kumpata.

Kuwa na nidhamu. Ukishafanya maamuzi, jipe amri ya kuhakikisha kuwa hutanunua malaya kwa miezi 6 ijayo na hakikisha unasimamia maamuzi yako. Akili yako itakuwa inakukumbusha ununue malaya pindi mwili wako ukijaa na hisia lakini jitahidi kudhibiti. Dhibiti akili yako, mwili wako na hisia zako, siyo kuruhusu kudhibitiwa na vitu hivyo.

Ukifanikisha kufanya hivi kwa miezi 6, basi utakuwa umepiga hatua ya kwanza ya kuacha ulevi wako.

Zingatia pia, tabia zote mbaya ni matokeo ya kutokuwa na malengo na misimamo.

Weka lengo la kifedha ambalo litakufanya kila mwezi uwe na sehemu ya kupeleka pesa. Lengo hilo liwe ni lengo chanya siyo lengo hasi.

Wote mnaonunua malaya acheni bwana hiyo tabia mbaya, na acheni udomo zege. Tafuteni wanawake ambao mtahangaika kuwapata. Jifunzeni kutongoza basi.

Mimi natoka. Utekelezaji mwema
 
Msaidie mpe binti yako.
Usikurupuke.

Uislam ni mwema sana, upo wazi kabisa, soma:
Qur'an24:
1.
HII NI SURA Tuliyo iteremsha na tukailazimisha; tukateremsha ndani yake Aya zilizo wazi ili mkumbuke. 1
2. Mzinifu mwanamke na mzinifu mwanamume, mtandikeni kila mmoja katika wao bakora mia. Wala isikushikeni huruma kwa ajili yao katika hukumu ya Mwenyezi Mungu, ikiwa nyinyi mnamuamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho. Na lishuhudie adhabu yao kundi la Waumini. 2
3. 3mzinifu haolewi ila na mwanamume mzinifu au mshirikina. Na hayo ya. Mwanamume mzinifu hamwoi ila mwanamke mzinifu au mwanamke mshirikina. Na mwanamke meharimishwa kwa Waumini. 3
4. Na wanao wasingizia wanawake mahashumu, kisha wasilete mashahidi wane, basi watandikeni bakora thamanini, na msiwakubalie ushahidi wao tena. Na hao ndio wapotovu 4
5. Isipo kuwa wale walio tubu baada ya hayo na wakatengenea; kwani bila ya shaka Mwenyezi Mungu ni Msamehevu, Mwenye kurehemu. 5

Hapo ni wazi umeielewa hukumu ya huyo kijana kwenye alilolileta.
 
Mara 2 kwa mwezi unasema uraibu? Mimi kuna kipindi nikiwa dar nimegegeda sana Malaya pale sinza mori, kwa wiki Mara 3 sasa nakushangaa unaposema ati Mara 2 kwa mwezi umekuwa mraibu.
Habari Wana Jamvi, nahitaji msaada wenu naona kiza nimepotea kwenye msitu wenye giza na mbwa mwitu wakali.

Mimi Ni Kijana Below 25 Years, nimefanikiwa Kukwepa Anasa Zote Lakin Nimejikuta Nadumbukia Kwenye Uraibu Wa Kununua Madada Poa.

Kama Kijana Mwenye Heshima Mtaani Nisiyeacha Ibada(swala Tano) Nimeshindwa Kuwakwepa Madada Poa Tena Wa Bei Kdogo Elfu 50,70 Kwa Mwezi Naweza Nunua Hata 2 Au Nikijizua Sana Mmoja Na Huwa Sinunui Wa Bei Rahisi.

Naumia Sana Kwanza Na Hii Tabia Pili Kupoteza Pesa Tatu Napoteza Heshima Yangu Binafsi Ingali Huwa Nanunua Mbali Na Eneo Wanaonijua Naona Kama Nina Nidhamu Ya Uwoga Naonesha Heshima Kwa Watu Ikifika Usiku Nakuwa Fisi.

Pesa Yangu Haifanyi Maendeleo Zaidi Ya Hiyo Anasa. Sivuti Bangi, sigara Wala Pombe.

Naomba Kusaidiwa Kuachana Na Hii Tabia Nateseka Sina Amani Ya Moyo. Nipo Kwenye Stage Ambayo Nisiponunua Malaya Ndani Ya Mwezi Naanza Kama Kuumwa Basi Ntakopa Pesa Ili Nikanunue.

Ni Kipindi Cha Mwaka Mmoja Na Nusu Tangu Nianze Kununua Nishalala Na Wanawake 13 Au 14, kuna Kpind Niliacha.
 
Pole!

Umeoa!?

Kama hujaoa oa Ili uwe bize na life utakosa hata muda wa kwenda huko!

Kama hujaoa na unalala alone automatic upweke unakuumbua na mwiba husimama sana na kwa fujo ukiwa mwenyewe na mpweke!
Hilo sio tatizo hi hitaji la dume lolote la mammalia!!!

Take that!!
 
Wapo viumbe waliumbwa hawamkosei mungu wao . sisi ni binadamu.
hakuna asie na dhambi ila unajua kabisa nazini naunafahamu ni kosa hilo lilikuwa ni kusudio la uhalisia hakuna mwanadamu aliemkamilifu aana kudanganya ama kuteta wizi na mengine mengi tu ambazo hatutakiwi kuwa navyo ikiwa unafamu muelishe aache kwa mfano unafanya kazi kisha unamuibia bosi wako anakukamata unaomba radhi unarudia anakukamata tena unaomba radhi anakusamehe unarudia tena anakufukuza ni lazima tuelezane ukweli
 
Habari Wana Jamvi, nahitaji msaada wenu naona kiza nimepotea kwenye msitu wenye giza na mbwa mwitu wakali.

Mimi Ni Kijana Below 25 Years, nimefanikiwa Kukwepa Anasa Zote Lakin Nimejikuta Nadumbukia Kwenye Uraibu Wa Kununua Madada Poa.

Kama Kijana Mwenye Heshima Mtaani Nisiyeacha Ibada(swala Tano) Nimeshindwa Kuwakwepa Madada Poa Tena Wa Bei Kdogo Elfu 50,70 Kwa Mwezi Naweza Nunua Hata 2 Au Nikijizua Sana Mmoja Na Huwa Sinunui Wa Bei Rahisi.

Naumia Sana Kwanza Na Hii Tabia Pili Kupoteza Pesa Tatu Napoteza Heshima Yangu Binafsi Ingali Huwa Nanunua Mbali Na Eneo Wanaonijua Naona Kama Nina Nidhamu Ya Uwoga Naonesha Heshima Kwa Watu Ikifika Usiku Nakuwa Fisi.

Pesa Yangu Haifanyi Maendeleo Zaidi Ya Hiyo Anasa. Sivuti Bangi, sigara Wala Pombe.

Naomba Kusaidiwa Kuachana Na Hii Tabia Nateseka Sina Amani Ya Moyo. Nipo Kwenye Stage Ambayo Nisiponunua Malaya Ndani Ya Mwezi Naanza Kama Kuumwa Basi Ntakopa Pesa Ili Nikanunue.

Ni Kipindi Cha Mwaka Mmoja Na Nusu Tangu Nianze Kununua Nishalala Na Wanawake 13 Au 14, kuna Kpind Niliacha.
Fanya toba,omba Mungu akusaidie
 
Mimi nakushauri ushauri utakaokufaa umejaribu kutafuta msaada umekosa mpokee YESU akata hiyo kiu ya kufata madada poa na utakuwa huru kabisa jaribu uone sikutanii huu ndio msaada pekee kwako pengine hutapata msaada wowote nitafute Kwa hii namba na nitakuombea 0658183618
 
Back
Top Bottom