Nimepotea naona giza kwa hii anasa

Chunguza kabla ujaongea sana au kuropoka, kuna ma Sheikh, walimu wa dini wanaswali mpaka wanapepesuka, wanalawiti watoto wa Madrasa.
ukimkuta shee kajinyonga nawewe utajinyonga kwakuwa ni shee. dini haiko hivyo maana ya dini ni kukatazana mabaya na kuamrishana mema sio shee anazini na wewe uzini dini haiko hivyo
 
Malaya 13 au 14 unasema umekuwa malaya?, kuna watu wamekubuhu ww!
 
You need spiritual healing
 
Kwa nini usitongoze mwanamke awe mpenzi wako (najua mtafanya mapenzi nje ya ndoa), lakini ni bora nusu shari kuliko shari kamili...

Ulipoanza tu kununua malaya wa kwanza, nafsi yako ilitekwa utumwani na sasa imeshikiliwa na pepo/jini linalohusika kucontrol mwanadamu kwenye habari za ngono za rejareja...

Ungekuwa mkristo ningekuambia jiweke karibu na maombi na maombezi ila kwa kuwa ni ustaadh labda utafute namna inavyofanyika msikitini kwa watu waliovamiwa na pepo wachafu...
 
Unajua uzito wa dhambi ya kuacha Swala? Mnasihi ache zinaa apambane na nafsi yake. Kwa namna yoyote usimnasihi aache Swala.
anapoenda katika zinaa mungu anamuona ila yeye anawaogopa watu wa mtaani kwake anajiheshimu ila hamuogopi muumba wake wala hamjali na ndio anaemuona inamaana ibada kwake ni sawa na kusema kuna mtu nyuma ya pazia
 
Maturity is the only things that will deliver u from that destructive behavior.

As more u mature, u will realize some bullshits should be left.

Watu wanaonunua ngono wanakuwa forced na Mitandao kwa asilimia kubwa.

1.pornographic/zile sites pemdwa

2.Twitter(X) Kuna pornographic si mchezo

3. Wadada wa Instagram wenye makalio makubwa. Hasa states, sauzi. Ukiwa follow.

Jizuie hayo mambo uone kama utatamani dadapoa.

Halafu inabidi upate UTI SUGU, GONO, KASWENDE, Zikuchachafye kweli kweli ndio utajua utamu na uchungu wa hizi mbanga.
 
Ndio tumnasihi amuogope Mola wake. Ila hatumuambii ache kuswali.
hakuambiwa aache kuswali nimesema aache moja wapo aache zinaa afanye ibada ama aache ibada aendelee na zinaa nikiwa nafahamu na hata kwa yeyote yule nilazima atajua njia ni ipi na hakuna njia nyingine zaidi yakucha zinaa na kufanya ibada na kufunga sunna zake na m.mungu ni mwenye huruma na kusaheme kwa wenye kutubia
 
Wapo viumbe waliumbwa hawamkosei mungu wao . sisi ni binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…