Nimepotea naona giza kwa hii anasa

Sio utapeli unatawaliwa na dhambi na shetani amepandikiza Roho hiyo ndani yako bila kuombeaa na kumpokea Yesu ili akufungue hutapona kamwe na kama unaona ni utapeli sawa Wacha uniite tapeli ila utauhitaji msaada huu siku Moja nipo hapa nasubiri
Sawa Mwamposa.Nahitaj Maombi Niwe Tajiri Kama Bill Gate
 
Kwa umri wako bado damu ina chemka ila achana na madada poa ni Bora upambane na wa mtaani
 
Sasa hapo unakua unasali nini, yaabi umetoka msikitini unaenda kuchapa dada poa??

Swala 5 ni kama vile siku nzima unaswali, sasa saa 2 ile umeswali unaenda kunjunja dada poa, nafsi haikusuti aiseee.
Swala Ni Lazima Haijalishi Unafanya Nini,haimaanish Uache Swala Kisa Uzinzi.Polepole Kupitia Swala Nitaacha
 
ni kweli unachosema kila mwanadam ni mkosaji ila kuna ile ambayo unajua haifai haitakiwi unafahamu kabisa kisha unakifanya kwa mapenzi yako yote
Nachojua Mimi Asilimia 90 Za Dhambi Tunazofanya Tunakuwa Tunajua,sisi Sio Watoto
 
Ushauri mzuri sana ila nashangaa eti ana tatizo Hilo na tukimshauri maombi anaita utapeli wakati yupo kwenye vifungo
Nyie Mnaoswal Kwa Mwamposa Mtanipoteza.Sijaona Muislam Akinishauri Kuombewa.Kuacha Hilo Jambo Unatakiwa Kufanya Juhud Binafs Huko Ukiomba Mungu Akuongoze Katika Jambo Ulolianza
 
Wewe nunua tu mpaka moyo wako utakapo kinai
Usiige life style hayo ndio maisha uliyochagua, kuna wapiga punyeto, kuna majambazi, kuna mafisadi, kuna waabudu mashetani, so usiogope wewe ni mnunuzi wa madada poa
Unadhani ukiacha kuwanunua nani atawanunua, kuwapa ridhiki hao madada poa? Kuna wanunuzi na wauzaji,
Wewe umezaliwa uwape ridhiki, usijute kuna wakati utaacha tu, wengine watakuja kukupokea kijiti
Jifiche hivyo hivyo jilie mzigo mpaka utakapo kinai babu
 
Kila unapofanya hiyo dhambi make sure unatubu na kujutia, Ukifanya hivyo Allah atakuonyesha njia ya kuacha.
 
My closest pal ni noma, akipitisha swala mojani LAZIMA aifidie ila ni moto chini wallah, akiwa na pesa tu anaweza kuwaweka hata wawili kwa siku. Akiwa hana anatulia tuliiii, huwa namwambia heri awe na hela za kawaida manake akizikamata ni noma.
Alafu wa hivyo wanakuwaga hodari wa kukemea dhambi😅
 
Me niliamua kuachana na kila kitu kama msikitini siendi zinaa na mambo mengine mabaya sifanyi nafanya kaz na kurud ndan

Inasikitisha sana yan unanunua dada poa kwa 70k tena mara moja kwa mwezi na pengine unakopa ili ukanunue huoni kuwa una umaskini unakuandama yan mwezi mzima unakosa 70k bado unapenda raha za hvyo si utafte tu hela kwanza
 
Naomba Kusaidiwa Kuachana Na Hii Tabia Nateseka Sina Amani Ya Moyo. Nipo Kwenye Stage Ambayo Nisiponunua Malaya Ndani Ya Mwezi Naanza Kama Kuumwa Basi Ntakopa Pesa Ili Nikanunue.
Umetupiwa jini mahaba...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…