Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapo unakua unasali nini, yaabi umetoka msikitini unaenda kuchapa dada poa??Haimaanishi Ukisal Hutokosea,nabii Musa Licha Ya Kuwa Nabii Na Kuswal Bado Aliuwa Mtu Hisia Zilimtawala.Ndo Maumbile Ya Bin Adam Yalivyo
Nashukuru kaka, nmesoma mada lakini mpaka sasa kuna sehemu sijaelewa, kwanini asitafute mwanamke aoe, kama anaweza kumudu hizo gharama za kununua hao wa kuuzwa..Mimi naona kama sitoongea vizuri na kwa usahihi katika kukunasihi ndugu yangu katika Imani, Allah atusamehe sisi na wewe.
Kazakh destroyer
Ok Ila Acha Utapel Dhambi Haiachwi Kwa Maombi
Mkuu wewe unaswali? Samahani kwa swaliunaswali kisha unazini na zinaa ni mbaya sana tumeamrishwa tusiikurubie kabisa maana inaleta ufukara nakushauri oa ikiwa huwezi funga j.3 na alkhamis maana usimchezee muumba wako leo unazini unapata dhambi maana umemkosea muumba wako kisha unaswali upunguza madhambi hakuna kitu kama hicho amua tubu na uache ama uendelee na zinaa uache kuswali maamuzi ni yako nchi haina dini ila wananchi wanadini
Kama umekiri unakosea basi na mleta mada naye anakosea.namshukuru mungu naswali ila sijakamilika na ninakosea nakubali kuelekezwa
ni kweli unachosema kila mwanadam ni mkosaji ila kuna ile ambayo unajua haifai haitakiwi unafahamu kabisa kisha unakifanya kwa mapenzi yako yoteMkuu wewe unaswali? Samahani kwa swali
Kama umekiri unakosea basi na mleta mada naye anakosea.
Ninachoamini ukiwa mwanadamu huwezi ishi bila kutenda dhambi
Ushauri mzuri sana ila nashangaa eti ana tatizo Hilo na tukimshauri maombi anaita utapeli wakati yupo kwenye vifungoIyo Hali mi mwenyewe ilinishikaga aisee ni kama Pepo,kipindi nipo university nilikuwa na addiction na bitches kuliko mademu WA kawaida yaani ukiniletea bitch na demu WA kawaida nachagua bitch,na nilipata bitch mwenye familia yake kabisa akawa ananikaribisha nikalale kwake kabisa sema ni single mother ,naondoka ghetto naenda kwake,na Kila nikipata boom lazima niende kwa bitches kulala nazo ,roho yangu ilikuwa ipo kwa bitches ata nijizuie vipi ata siku iende vipi lazima niende tu,na nimegonga sana bitches za chugga tangu enzi za shivaz na sa hivi picnic,xo, pinpoint,na za kitaa ambazo zinapenda anasa ya pombe,na za mji kasoro bahari pale kahumba,aisee nilichokuja gundua izo bitches ni Zina mambo ya kishirikina sana na Zina jivukisha madawa sana ya waganga yaani madawa ya mvuto na kuvuta mteja akikuita tu lazima akudake na ukijichanganya tu kupiga au kulala naye lazima Kila siku ukienda ilo eneo lazima umchukue yeye,sahivi nimejitahidi kuacha izo issues ila nimepoteza sana pesa na Kuna kipindi nilikuwa na nasa Hadi magono,kwa kifupi kudeal na Malaya ni hatari sana jitahidi kupiga maombi ili kujiondoa kwenye ilo Pepo la kupenda bitches ambalo usikute umetupiwa na hao hao bitches
Utofauti na anachokifanya itakuwa mi lipi hasa[emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji2955]. Tz elimu shida.Tafuta mademu uwe unaluka nao daily. Angalau hapo unaweza kureplace Tabia ya zaman kwa kutumia Tabia mpya
Ok Huo Ni Mtizamo WakoUmeitikia tu hutajaribu unacheza na addiction
Nataka Kuacha Mapema Kabla Hawajafka 100 Nikawa Addicted KabisaMalaya 13 ndo unakuja kulialia hapa
SinzaUnanunulia wapi?
SinzaUnanunulia wapi?
una muda gan tangu uanze nunuaYani hapo badoooo. Mm Ninakaribia 200 mwaka huh ukiisha nafikisha