incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
Wakuu habari za mida hii.
Mwenzenu yamenifika, kwanza kabisa nitangulize salamu kwa wakubwa na wadogo Mahrahaba! Umri wangu ni 33 years Nipo kwenye ndoa yapata miaka 5 sasa na hapa nimebahatika kupata watoto wawili.
Wakuu tatzo lililonisibu nimepoteza hisia za kimapenzi na Mke wangu kabisa, yaani sijawai kumfuma kwamba pengine ndio sababu ya Mimi kupoteza hisia nae ila nadhan chanzo ni tumigogoro tudogo tudogo ambao hata katika familia zingine suala la kupishana kidogo lipo, ila sasa kwangu limezua tatizo,
Mwanzoni sikujua kama nimepoteza hisia kwake ila nilihisi pengine nimepungukiwa nguvu za kushiriki tendo ila la hasha! Baada ya uchunguzi nimegundua tatizo la kupungukiwa uwezo hujitokeza nikiwa na mke wangu tu, Yaani nikijitahidi naweza kupiga push up 2 nikamaliza na hapo hisia hazirud tena na nikimaliza nakumbwa na usingizi sio wa nchi hii yaani ntakuja kustuka asubuhi,
Kwa kweli kiutu huwa namuonea huruma ninavyomuona akiangaika ila unakuta mim kadri anavyohangaika ili nirudie tendo hapo ndo hisia zinakata kabisa yaani hata kama kulikuwa na dalili za kuendelea ila akianza juhudi za kuliamsha dude ndo linalala kabisa mazima,
Nilipata utambuzi kuwa tatizo hili lipo ninapokutana na wife tu ni baada ya juzi katika harakati nikakumbana na concubine flani ivi mwanzo nilikuwa nahofia yasijekunikuta yaleyale ila baada ya kuona mazoea yamezid nikaona isiwe kesi nisije kuonekana namna gani vipi ikabidi nivunje amri ya sita.
Aisee kusema kweli niliniogopa yaani nilipiga kama bao 5 hivi na bado chuma ngenge yaani hadi yule dem alikuw anauliza Mimi ni binadam wa aina gani, na kweli ninavyokumbuka hata wife kilichochangia nimuoe ilikuwa ni show za kibabe zilimdatisha ukiachana pia na harakati za MTU mweusi za hapa na pale,
Baada ya lile tukio nikajaribu tena kwingine napo show ikawa vilevile showkali yaani nimejikuta sasa nimekuwa fuska kwa maana huko nje heshima IPO ila nikirud ndani show mbovu yaani kuna mda hadi nataman nimpe wife simu akaulizie wenzie ila naogopa yy kila Siku ananiambia twende hospital nikatibiwe au kwa mganga ila nikijitafakari najijua tatizo lipo kwake tu, nashindwa kabisa cha kufanya.
Najua hum Jf kuna wajuzi wa mambo naombeni msaada namna ya kujinasua na hili tatzo au kama kuna MTU anaejua chanzo cha hili tatzo anisaidie. Naumia sana pia naona namtesa mtoto wawatu!
Kuna mda inanijia roho ya kutaka niachane nae ili niowe mwanamke mwingine nisimtese ila moyo unakataa wife ni mwanamke mtulivu, mpole, na hana makuu pia ananitunzia siri na madhaifu kama haya yaliyonikuta japokuw yy anaamini nimepungukiwa nguvu za kiume na huwa ananitia moyo sana akisema kuna siku nitatibiwa nitapona.