Nimepoteza hisia za kimapenzi kwa mke wangu

Nimepoteza hisia za kimapenzi kwa mke wangu

Naona tu new username ila hati ni ile ile
Sielewi kwanini nimemkariri sana yule memba!!
Yatakuja kunishinda 🏃‍♀️🏃‍♀️
Member yupi mpedwa ok u hali gani
 
Vipi mnanyanduana kitandani tu? Badilisheni mazingira anzeni hata jikoni, bafuni pelekeaneni moto iwe asubuhi, mchana , jioni siyo lazima iwe usiku tu mkuu, tokeni out mkanyanduane huko huko, pia mwambie avae vinguo flani hivi laini mnavokua pamoja siyo akuvalie mangu ya vitenge kama anaenda jumuiya. Anukie vizuriii utaona mnara unavosoma 5G ukimuona.
 
Mkuu umeua kwa kweli Mimi hata mood ya kusema nimnyandue jikoni sijui wapi hamna yaani hata SMS yake. Nikiiona tu mood inakata
 
Vipi mnanyanduana kitandani tu? Badilisheni mazingira anzeni hata jikoni, bafuni pelekeaneni moto iwe asubuhi, mchana , jioni siyo lazima iwe usiku tu mkuu, tokeni out mkanyanduane huko huko, pia mwambie avae vinguo flani hivi laini mnavokua pamoja siyo akuvalie mangu ya vitenge kama anaenda jumuiya. Anukie vizuriii utaona mnara unavosoma 5G ukimuona.
Legend!
 
Mkuu hapo nikubadilisha mazingira alafu pumzika mwezi mzima sex huo mwezi kuwa unapiga zoezi
 
Wakuu habari za mida hii.

Mwenzenu yamenifika, kwanza kabisa nitangulize salamu kwa wakubwa na wadogo Mahrahaba! Umri wangu ni 33 years Nipo kwenye ndoa yapata miaka 5 sasa na hapa nimebahatika kupata watoto wawili.
Hii nu kawaida kabisa, sasa jambo la muhimu ni kumaliza hiyo migogoro
 
Ulipokesa zaidi ni kuanza ufuska nje!

Hisia zinarudishwa kwa mahaba kaka, jiulize ulimpendea nini? Tokeni nendeni ht viwanja vipya siku moja baasi!unakosea sana kuchepuka naona kabisa ukihamia huko huko!

Halafu kwani bao5 sifa au mnapataga award. Mapenzi starehe mweeh!haya mambo haya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna malaya anakuloga anataka uiache ndoa yako umuoe yeye(hata wewe umekiri) ila usijefanya kosa la kuacha mkeo kuanzia sasa acha michepuko utaona mabadiriko ukiendelea kuchepuka utapata aibu ya karne.
 
Back
Top Bottom